Aiseeee mkuu pole sana, Mungu akutie nguvuHabari wakuu
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nilipata shida miezi miwili iliyopita nilikuwa nasikia maumivu kwenye tumbo upande wa kulia kwa chini.Baada ya kwenda kupima niligundulika nina kidonda kwenye utumbo mkubwa Docto...
😟 Pole sanaNilirudi nikapewa dose ile ile ndo maana nilitumia dose siku 34
Anayetibu ni daktari na sio hospitali.Hospital nilioenda ni kubwa labda nibadilishe hospital sasa.
Upo mkoa gani na umeenda hospital gani?Nilirudi nikapewa dose ile ile ndo maana nilitumia dose siku 34
Kula vyakula vya alkaline. Msome sana dokta sebi na lisheHabari wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nilipata shida miezi miwili iliyopita nilikuwa nasikia maumivu kwenye tumbo upande wa kulia kwa chini. Baada ya kwenda kupima niligundulika nina kidonda kwenye utumbo mkubwa Doctor alisema ugonjwa nilio nao unaitwa chlons disease. Nilipewa dawa nikatumia mwezi 1 nikamaliza dose kwa sasa nina week 2 toka nimalize dose lakini naona bado shida ipo kwa sababu bado napata maumivu kama mwanzoni.
Naomba ushauri wa kitaalam ni aina gani ya dosage itanifaa.
Naomba mnisaidie napata shida sana.
Asanteni.
Nikupe tiba ya kienyeji? Malipo ni Tsh 50,000/= baada ya kupona😅😅Habari wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nilipata shida miezi miwili iliyopita nilikuwa nasikia maumivu kwenye tumbo upande wa kulia kwa chini. Baada ya kwenda kupima niligundulika nina kidonda kwenye utumbo mkubwa Doctor alisema ugonjwa nilio nao unaitwa chlons disease. Nilipewa dawa nikatumia mwezi 1 nikamaliza dose kwa sasa nina week 2 toka nimalize dose lakini naona bado shida ipo kwa sababu bado napata maumivu kama mwanzoni.
Naomba ushauri wa kitaalam ni aina gani ya dosage itanifaa.
Naomba mnisaidie napata shida sana.
Asanteni.
Inatakiwa uumie upande ganupande wa kulia 😲....ulienda kupima maabara au famasi? huenda huna huo ugonjwa walio kuambia nenda kapime sehemu nyingine utanishukuru
Unataka ndugu yetu aumie zaidi mkuupole sana, Jaribu wale jamaa wa Tiba mbadala
Kwamba wale jamaa ni matapeli?Unataka ndugu yetu aumie zaidi mkuu