Copro mtego
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 619
- 796
Hayo madawa ndo yanaongoza kwa kuua watu ni kama mganga wa kienyeji akikutibu atakuambia umepona na ww kwa Imani utajiona umepona subiri miezi 6 ugonjwa unarud na nguv zote kutoboa n ngumKwamba wale jamaa ni matapeli?
Kwenye hili umenifungua mkuu.Hayo madawa ndo yanaongoza kwa kuua watu ni kama mganga wa kienyeji akikutibu atakuambia umepona na ww kwa Imani utajiona umepona subiri miezi 6 ugonjwa unarud na nguv zote kutoboa n ngum
Ndugu huu ugojwa usikie tu ni ugojwa mbaya sana mie umenitesa sana kwa miaka zaidi ya 15 hadi majuzi nikiwa China nikaugua na kwenda pharmacy yao aisee hadi sasa najiona kama nimezaliwa upya. Nakushauri kama una ndugu yuko China kanunue dawa huko achana na hizi dawa za hapa nchini kwamba tumia majani haya mara asali yaani hamna loloteHabari wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nilipata shida miezi miwili iliyopita nilikuwa nasikia maumivu kwenye tumbo upande wa kulia kwa chini. Baada ya kwenda kupima niligundulika nina kidonda kwenye utumbo mkubwa Doctor alisema ugonjwa nilio nao unaitwa chlons disease. Nilipewa dawa nikatumia mwezi 1 nikamaliza dose kwa sasa nina week 2 toka nimalize dose lakini naona bado shida ipo kwa sababu bado napata maumivu kama mwanzoni.
Naomba ushauri wa kitaalam ni aina gani ya dosage itanifaa.
Naomba mnisaidie napata shida sana.
Asanteni.
Mm sio Dokta ila Nina hizo shida tumbo linaumsga upande wa kushoto sio kuliaupande wa kulia 😲....ulienda kupima maabara au famasi? huenda huna huo ugonjwa walio kuambia nenda kapime sehemu nyingine utanishukuru
Hakuna dawa ya hospitalini inayotibu hilo tatizo mkuu!wanatoa dawa za kutuliza tu!!Habari wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nilipata shida miezi miwili iliyopita nilikuwa nasikia maumivu kwenye tumbo upande wa kulia kwa chini. Baada ya kwenda kupima niligundulika nina kidonda kwenye utumbo mkubwa Doctor alisema ugonjwa nilio nao unaitwa chlons disease. Nilipewa dawa nikatumia mwezi 1 nikamaliza dose kwa sasa nina week 2 toka nimalize dose lakini naona bado shida ipo kwa sababu bado napata maumivu kama mwanzoni.
Naomba ushauri wa kitaalam ni aina gani ya dosage itanifaa.
Naomba mnisaidie napata shida sana.
Asanteni.
Hiyo kweli,japo inaweza ikakuvuruga sana tumbo!Tumia dawa za asili
Mafuta ya kondoo ndio tiba
Haya ni maelezo kutoka hospital kubwa ya mayo clinic iliyopo marekani kwa mujibu wao huu ugonjwa hauponi ila dalili zinaweza kupungua ukifuata vzr ushauri na tibaHabari wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nilipata shida miezi miwili iliyopita nilikuwa nasikia maumivu kwenye tumbo upande wa kulia kwa chini. Baada ya kwenda kupima niligundulika nina kidonda kwenye utumbo mkubwa Doctor alisema ugonjwa nilio nao unaitwa chlons disease. Nilipewa dawa nikatumia mwezi 1 nikamaliza dose kwa sasa nina week 2 toka nimalize dose lakini naona bado shida ipo kwa sababu bado napata maumivu kama mwanzoni.
Naomba ushauri wa kitaalam ni aina gani ya dosage itanifaa.
Naomba mnisaidie napata shida sana.
Asanteni.
Pole sana,Habari wakuu,

Mkuu pole kwa maradhi yako ya vidonda vya tumbo hutoweza kupona maradhi yako kwa dawa za hospitali nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa ppole.Habari wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nilipata shida miezi miwili iliyopita nilikuwa nasikia maumivu kwenye tumbo upande wa kulia kwa chini. Baada ya kwenda kupima niligundulika nina kidonda kwenye utumbo mkubwa Doctor alisema ugonjwa nilio nao unaitwa chlons disease. Nilipewa dawa nikatumia mwezi 1 nikamaliza dose kwa sasa nina week 2 toka nimalize dose lakini naona bado shida ipo kwa sababu bado napata maumivu kama mwanzoni.
Naomba ushauri wa kitaalam ni aina gani ya dosage itanifaa.
Naomba mnisaidie napata shida sana.
Asanteni.
Mkuu pole kwa maradhi yako ya vidonda vya tumbo hutoweza kupona maradhi yako kwa dawa za hospitali nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa
Upo serious mkuu?Nikupe tiba ya kienyeji? Malipo ni Tsh 50,000/= baada ya kupona😅😅