Msaada: Niligundulika na tatizo la vidonda vya tumbo, dozi niliyopewa imeisha lakini sijapata nafuu

Mkuu naomba kujua dawa uliotumia
 
Naona kuna watu hawajanielewa niweke hii kitu sawa.
Wakuu mimi sina vidonda vya tumbo bali nina kidonda kwenye utumbo mkubwa na huo ugonjwa kitaalam wanaita crohn's disease
 
Asanteh mkuu nimekuelewa
 
Tumia dawa za asili mm zilinisaidia sasa hivi nakula hata pilipili
 
Hiyo kitu haiponi over dozi ya siku moja au mbili, bali ni series ya diety maalum na dawa kwa kipindi fulani
 
Usiamini daktari mmoja
Nenda kwa mwingine
Labda una mawe who knows
Mimi huwa nawaona kama waganga wa kienyeji
Hata wawekewe mitambo ya aina gani wanaotabiri tu au zimeharibika au hawajui tu kuzitumia
Kuna jamaa yangu kaambiwa ana Tezi dume kumbe ni mawe
 
Polee sana choma sindano ya pantopra
Wazo zuri
 
Hapo nimeelewa
 
Rudi kwa Daktari
 

Pole !
Vidonda vya Tumbo ni tatizo la mfumo wa Mmeng’enyo wa chakula ambapo nishati zake huwa haziko kwenye uwiano sahihi kwenye Mfumo wa Tumbo hivyo kusababisha matatizo mbalimbali likiwemo hilo la Vidonda vya Tumbo

( Water Energy & Fire energy)

Heshoutang Natural healthy system / Xianhe International

VIDONDA VYA TUMBO : ( Stomach & Spleen system SS)

Mifumo inayohusika na Mmeng’enyo wa chakula ipo 2 , ambayo ni Mfumo wa INi & Nyongo pamoja na Mfumo wa Tumbo & Bandama / Stomach & Spleen system SS.

1. Burning Stomach/ maumivu ya kuwaka Moto tumboni :
Hii dalili huonesha Water Energy ipo chini au imepungua kwenye Mfumo wa Tumbo hivyo kusababisha Sumu Moto kuzalishwa / Uric acid / Fire toxin high to burn Stomach

TIBA :
Tutahitaji ku clear fire toxin or Uric acid pamoja na kuimarisha mfumo wa Tumbo
( Tutakupa dawa aina 2 kwa ajili ya Kazi hiyo )

Lakini kama itaonesha nishati Moto ipo chini basi tatizo litakuwa limetokana na Mfumo wa Tumbo kuwa dhaifu hivyo kushindwa kihimili Juice ya Nyongo / it can’t buffer extra gastric acid
Lakini ikiwa ndio hivyo tatizo litaambatana na kuharisha au kutapika chakula kisichomeng’enywa etc

TIBA :
Tunarudishia nishati Moto kwenye Mfumo wa Tumbo / replenish Fire energy into SS
Na tatizo litakuwa limeisha
( kuna dawa za kanuni hiyo tutakupa )

[emoji117]Sharp or Dull pain in Stomach or around belly button ;

Kwa ujumla tatizo hilo hutokana na mkwamo wa mzunguko wa damu / Blood stuck or blockage

TIBA :
Tunavunja damu iliyoganda au mkwamo wowote kwenye tumbo , pamoja na kulainisha nishati kwenye Mfumo wa Ini , ili kuwezesha mzunguko kuwa vizuri hivyo kuondoa hiyo shida !

Tatizo lolote la kiafya wasiliana nasi
Dawa zetu ni Natural zenye uwezo mkubwa sana wa kutibu kila ugonjwa

+255653048888
www.heshoutang.com/heshoutang-dar-es-salaam-tanzania-office
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…