Grand Canyon
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 545
- 1,191
Kosa kubwa sanaNiliambiwa nilipe kabla ya tarehe 15 Oktoba. Je ukipitisha siku deni linaongezeka?
Je ni kosa kuendesha gari lenye faini ya Polisi?
Msaada please.
Je ni kosa kuendesha gari likiwa na faini ambayo haijalipwa?Karibu sana dereva mpya kwenye barabara zetu za bongo.
Ni hivi, ukizidisha siku 7 tangu upigwe faini basi inaongezeka 7500. Itaongezeka hivyo kwa kila wiki unayozidisha na itagota ikifikia 60,000/-.
Je ni kosa kuendesha gari likiwa na faini ambayo haijalipwa?
Sio kosa kisheria, ila ndo hivo gari inaeza ekwa on-hold hadi ulipie deni. Hasa kama deni ni kubwaJe ni kosa kuendesha gari likiwa na faini ambayo haijalipwa?
Hela ya Parking vipi inaongezeka???Karibu sana dereva mpya kwenye barabara zetu za bongo.
Ni hivi, ukizidisha siku 7 tangu upigwe faini basi inaongezeka 7500. Itaongezeka hivyo kwa kila wiki unayozidisha na itagota ikifikia 60,000/-.
Ndivyo ilivyo kila week litaongezeka kwa kiasi hicho kama hutalipaNiliambiwa nilipe kabla ya tarehe 15 Oktoba. Je ukipitisha siku deni linaongezeka?
Je, ni kosa kuendesha gari lenye faini ya Polisi?
Msaada please.
Sidhani kama inaongezeka, mimi nilikaa na deni kwa muda mrefu la parking na sikuona likiongezeka mpaka nikalilipa.Hela ya Parking vipi inaongezeka???
Niliambiwa nilipe kabla ya tarehe 15 Oktoba. Je ukipitisha siku deni linaongezeka? Je, ni kosa kuendesha gari lenye faini ya Polisi? Msaada please.
Nijuavyo si kosa kisheria. Ila likishafika 60,000,/- polisi wanaweza kukusumbua kwa kushikilia gari mpaka ukalipe deni kwa kuwa mpaka kufika 60,000 maana yake limekaa muda mrefu hivyo kwa maana nyingine unaonwa kama mkaidi wa adhabu.Je ni kosa kuendesha gari likiwa na faini ambayo haijalipwa?
Hawa madereva wa Bajaj wasumbufu sana!Niliambiwa nilipe kabla ya tarehe 15 Oktoba. Je ukipitisha siku deni linaongezeka?
Je, ni kosa kuendesha gari lenye faini ya Polisi?
Msaada please.
Niliambiwa nilipe kabla ya tarehe 15 Oktoba. Je ukipitisha siku deni linaongezeka?
Je, ni kosa kuendesha gari lenye faini ya Polisi?
Msaada please.
Interval waliyoweka ni ndogo. Nilipigwa faini Tarehe 3 naambiwa nilipe kabla tarehe 15. Wangekuwa wanatoa siku 30 ingependeza. Nilikuwa na safari ya masafa marefu sikuwa na budi kukanyaga mafuta. Sasa ukiweka gharama za mafuta na safari Kwa ujumla Tena kulipa faini mpaka kusubiri salary.N
Nijuavyo si kosa kisheria. Ila likishafika 60,000,/- polisi wanaweza kukusumbua kwa kushikilia gari mpaka ukalipe deni kwa kuwa mpaka kufika 60,000 maana yake limekaa muda mrefu hivyo kwa maana nyingine unaonwa kama mkaidi wa adhabu.
Interval hawajaweka Polisi.Interval waliyoweka ni ndogo. Nilipigwa faini Tarehe 3 naambiwa nilipe kabla tarehe 15. Wangekuwa wanatoa siku 30 ingependeza. Nilikuwa na safari ya masafa marefu sikuwa na budi kukanyaga mafuta. Sasa ukiweka gharama za mafuta na safari Kwa ujumla Tena kulipa faini mpaka kusubiri salary.
Kama interval ya Polisi ni ndogo, wakikudaka tena waambie wakupeleke mahakamani kule hawana mbambamba, ni dakika chache tu, utajua kama unaenda nyumbani au Herezani.Interval waliyoweka ni ndogo. Nilipigwa faini Tarehe 3 naambiwa nilipe kabla tarehe 15. Wangekuwa wanatoa siku 30 ingependeza. Nilikuwa na safari ya masafa marefu sikuwa na budi kukanyaga mafuta. Sasa ukiweka gharama za mafuta na safari Kwa ujumla Tena kulipa faini mpaka kusubiri salary.