Msaada: Nilipigwa faini ya over speeding. Deni limeongezeka Tsh 7,500 kutoka 30,000

Msaada: Nilipigwa faini ya over speeding. Deni limeongezeka Tsh 7,500 kutoka 30,000

Je ni kosa kuendesha gari likiwa na faini ambayo haijalipwa?
Ni kosa ndio wakikunasa tena wanakung'ang'ania hadi ulipe

Ukipitishwa muda ambao umewekwa kulipa inakuwa inaongezeka 7,500 kila week ila ulikofika 60,000 haiendelei ibaki wakukakamate ulipe
 
Hivi Kwanini system ya faini za polisi hazitoi notification endapo ukiandikiwa.
 
Sio kosa hadi utakapofika 60,000/= tsh ndio kosa.

Hapo wakikukamata hawaliachii gari.
 
Back
Top Bottom