Msaada: Nilipigwa faini ya over speeding. Deni limeongezeka Tsh 7,500 kutoka 30,000

Niliambiwa nilipe kabla ya tarehe 15 Oktoba. Je ukipitisha siku deni linaongezeka?

Je, ni kosa kuendesha gari lenye faini ya Polisi?

Msaada please.
Hivi unawaachiaje mpaka wanakuandikia? Wakati buku 5 yako tu inakuokolea 25k
 
Je ni kosa kuendesha gari likiwa na faini ambayo haijalipwa?
Ni kosa ndio wakikunasa tena wanakung'ang'ania hadi ulipe

Ukipitishwa muda ambao umewekwa kulipa inakuwa inaongezeka 7,500 kila week ila ulikofika 60,000 haiendelei ibaki wakukakamate ulipe
 
Hivi Kwanini system ya faini za polisi hazitoi notification endapo ukiandikiwa.
 
Sio kosa hadi utakapofika 60,000/= tsh ndio kosa.

Hapo wakikukamata hawaliachii gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…