Msaada: Nimeachishwa kazi


Hatua za kuchukua

Kwanza omba appointment na huyo bosi wako wa DSM ukae naye chini akufafanulie makosa yako, from there utajua nini cha kufanya, be patient, usikurupuke
 
Soma sheria hiyo ya ajira na mahusiano kazini 2004 na sheria ya utumishi wa umma,2009 vifungu ulivyoelekezwa ili uandike barua kwa kurejea vifungu vilivyokiukwa!
 
Hatua za kuchukua

Kwanza omba appointment na huyo bosi wako wa DSM ukae naye chini akufafanulie makosa yako, from there utajua nini cha kufanya, be patient, usikurupuke

Mkuu niliomba appointment lakin mwajiri amenipuuza hadi sasa na sku zinaendA unakaribia mwezi sasa
 
Soma sheria hiyo ya ajira na mahusiano kazini 2004 na sheria ya utumishi wa umma,2009 vifungu ulivyoelekezwa ili uandike barua kwa kurejea vifungu vilivyokiukwa!

Mkuu nimemwandikia hyo barua mwajiri na nimequote maeneo hayo ambayo naona yamekiukwa

Hata hvyo unakaribia mwezi sasa sijajibiwa chochote
 
Je! Ulijionyesha kujihusisha na siasa za mabadiliko? Maana hili nalo ni kosa kubwa siku hizi.
 

wamegundua wewe sio ccm.....
Ushauri.
Mu ue...just kill him/her
 

hakuwa mfanyi kazi wa kampuni.
 
ww unazingua, ulikuwa kwenye probation ukachukua leave ukute ulisingizia ugonjwa, nnavojua ukiwa kwenye probation yo nat etittld kuchukua leave, kama kwel ulikuwa waumwa bas umeonewa bt kama ulfanya ubishooo ili ule bata imekula kwako

yaani yule dem alimponza au mitungiiii
 
hakuwa mfanyi kazi wa kampuni.

Ameshalitolea ufafanuzi, hata kama ni serikalini kuna taratibu zake zinazoongoza waajiriwa na kuelezea nini kinategemewa kwa mwajiri na mwajiriwa na makosa yanayoweza kumfukuzisha mtu kazi bila onyo na makosa yanayopelekea kupewa onyo. Shukrani mkuu
 

Amesema serikali kuu. Suala kampuni linatoka wapi?
 

na pia kwa kuongezeaaa adownload case ya daniel case kwan pia,nayo ataelewa maan huyu alikuwa nae terminate kazid bila kosa
 
Hivi serikalin napo wanafukuza mfanyakazi kiswngerema hivi kuna namna hapo hakuna jengine
 
Soma yeremia 33:3, zbr 125, nenda knsn toa sadaka ya shukrani Mungu aingilie kati, usiogope wala usifadhaike, yohana 14: 1_6, kwa Mungu yote yanawezekana
 


any misconduct should be well explained if an employee is to be expeled,

japo kama umeajiriwa serikali kuu ni eneo ambalo linahitaji sana ufwate baadhi ya professionals codes of conduct maana ni sehemu nyeti na uwe na uwezo mzuri wakutenda kazi.

je hujawahi toa siri za ofisi?
wewe ni mlevi?
umepokea rushwa?
vipi kuhusu mahusiano yako ya mapenzi na kazi, angalia vizuri kuna mahali umeingilia anga za boss au msimamizi wako kwakujitia ujuaji akaona usiwe nuksi,
hapo na wewe hakikisha umepita sheria katika mkataba waho na umhoji kwa barua kuwa hajaainisha kosa lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…