Msaada nimeambiwa mkojo una protein3+,na leu2+ nimeambiwa ni uti

Msaada nimeambiwa mkojo una protein3+,na leu2+ nimeambiwa ni uti

Ni hospital gani ulienda apo ina maana mkojo huwa na povu jingi na linachelewa kupotea si ndio
 
Sio kwa ubaya hivi ni kweli maradhi haya mkuu malembeka yanakuandama au wewe ni mtu wa afya mkuu. Malembeka una lundo la maradhi mkuu pole sana
Nikweli nina maradhi haya Wala siuongo
 
La Muhimu Hapo Ni Kuzingatia Doze Ulizobahatika Kupatiwa Na Kuzimaliza.Sawa Ndg...Malembeka,,Kama Unashaka Lolote Juu Ya Majibu Na Dozi Ulizobahatika Kupatiwa,,Rudi Hospitali Husika Au Kwa Uhakika Zaidi Jaribu Na Kwa Watoa Huduma Wengine Wa Afya Za Binadamu...
 
Habar wakuu nimeambiwa Nina UTI nimepewa dawa amosclave na Panadol nin nifanye kutoa protein kwenye mkojo na dawa ipi sahihi kwa UTI kali
Yani umetoka hospitali umefanyiwa vipimo na dawa umepewa ila hujaridhika unakuja jf utibiwe na member wa humu.

Hakika maajabu hayatakaa yaishe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom