Msaada nimefikishwa kortini kwa Deni lilokoma

Msaada nimefikishwa kortini kwa Deni lilokoma

Sasa ingekua rahisi kiasi hicho si mtu angekua anakopa pesa zake anasepa after "muda wa ukomo " anarudi anaendelea na life

Kuwa muungwana ulipe kama ambavyo aliekukopesha alikua muungwana
Soma vizur maelezo yaelewe kisha uwe na nafasi nzuri ya kujibu
 
Sasa ingekua rahisi kiasi hicho si mtu angekua anakopa pesa zake anasepa after "muda wa ukomo " anarudi anaendelea na life

Kuwa muungwana ulipe kama ambavyo aliekukopesha alikua muungwana
Soma vizur maelezo yaelewe kisha uweze kukomment
 
well. Kuna mtu nilikuwa nafanya nae biashara hzi za kuaminiana. Kunasehemu nilienda kumdhamini mzigo km wa million 5 hivi kwamaelezo kuwa anaenda nao Zambia. Atarudi na pesa ya mdai wake . Hakurudi. Mm ikabidi nilipe lile deni. Lkn before that alikuwa ananidai 2,700,000 aliporudi akaja na maelezo yakuwa alipata ajali na mzigo na akaanza kunidai ile hela yake. Coz yake tuliandikishana ila nilikomdhamini hatukuandikishana kanipeleka mahakamamani so Nataka nitokee hapo kwenye ukomo wa deni.
kama kweli ni hivi basi ulikuwa na right to lien..

hapo ulipoenda kilipa deni lake si kuna ushahidi kuwa ulimdhamini.

maana sio lazma kuandikishana..
 
Wasalaam!
Naomba Msaada wa kifungu cha sheria kinaochoeleza ukomo wa madeni. Nakumbuka nimewahi kushuhudia mtu anashinda kesi Kama hii kortini kwa maelezo kuwa deni limekoma. Hakimu Akasema deni likikaa miaka mitatu hukoma kwa majibu wa sheria na kifungu alikitaja sasa nimekisahau. Naomba kukumbushwa

Mwilabheghe naomba uni pm, nimewahi kuwa na kesi kama yako, na nikaishinda. Ni pm sambamba na kunitumia namba zako zako za simu nitakupigia haraka.
 
Wasalaam!
Naomba Msaada wa kifungu cha sheria kinaochoeleza ukomo wa madeni. Nakumbuka nimewahi kushuhudia mtu anashinda kesi Kama hii kortini kwa maelezo kuwa deni limekoma. Hakimu Akasema deni likikaa miaka mitatu hukoma kwa majibu wa sheria na kifungu alikitaja sasa nimekisahau. Naomba kukumbushwa
Umesahau kuwa hata nchi nadaiwa kabla hatujapata uhuru mkuu??

Ule cha mtu eti usubiri miaka mi tatu??

Ukishinda mahakamani k ukweli lufaa yake ni kwa watu wasiojulikana
 
Back
Top Bottom