Mwilabheghe
Member
- Feb 14, 2018
- 30
- 14
- Thread starter
- #21
Soma vizur maelezo yaelewe kisha uwe na nafasi nzuri ya kujibuSasa ingekua rahisi kiasi hicho si mtu angekua anakopa pesa zake anasepa after "muda wa ukomo " anarudi anaendelea na life
Kuwa muungwana ulipe kama ambavyo aliekukopesha alikua muungwana