Msaada nimefikishwa kortini kwa Deni lilokoma

Sasa ingekua rahisi kiasi hicho si mtu angekua anakopa pesa zake anasepa after "muda wa ukomo " anarudi anaendelea na life

Kuwa muungwana ulipe kama ambavyo aliekukopesha alikua muungwana
Soma vizur maelezo yaelewe kisha uwe na nafasi nzuri ya kujibu
 
Sasa ingekua rahisi kiasi hicho si mtu angekua anakopa pesa zake anasepa after "muda wa ukomo " anarudi anaendelea na life

Kuwa muungwana ulipe kama ambavyo aliekukopesha alikua muungwana
Soma vizur maelezo yaelewe kisha uweze kukomment
 
kama kweli ni hivi basi ulikuwa na right to lien..

hapo ulipoenda kilipa deni lake si kuna ushahidi kuwa ulimdhamini.

maana sio lazma kuandikishana..
 
Mwilabheghe naomba uni pm, nimewahi kuwa na kesi kama yako, na nikaishinda. Ni pm sambamba na kunitumia namba zako zako za simu nitakupigia haraka.
 
Umesahau kuwa hata nchi nadaiwa kabla hatujapata uhuru mkuu??

Ule cha mtu eti usubiri miaka mi tatu??

Ukishinda mahakamani k ukweli lufaa yake ni kwa watu wasiojulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…