Msaada: Nimefungiwa Whatsapp account yangu

Mambo za chatgpt sio?
 
Asisahau kuandika namba +255....
 
Hiyo ishu ni ya kawaida...

Whatsapp wanatumia AUTOMATION sana aliyeifunga hiyo account si MTU bali ni system.

Kitaalam tunaita False Alarm.

Kuna namna system yao inachambua account na kuzifunga through various algorithm techniques..

Namna ya kutoa hiyo error ni kufanya una RE-REGISTER Upya.

Fanya backup ya MEDIA file first. Then clear data za app kule ktk settings. Then anza ku register upya as ume install ryt nw.

Itakupa ujumbe wa kublockiw sasa hapo utaandika maneno mafupi tu kuw my account is disabled, I need to be on service as soon as possible and I think it was a false alarm.. baadae itafunguka na kukwambia ni mistakenly flagged as scam etc etc..


Pia wameaupdate policy and rules mpya hizo ndio zina FLAG sana account za watu..

Ni mengi ya kuandika ila hayo machache I hope utapata Mwanga.
 
Habari wanajamvi Ninaomba Msaada juu ya kufunguliwa Kwa account yangu ya whatsapp iliyofungiwa burned
Natumia whatsapp messenger Pelee na sikufanya chochote Kama forwarding SMS wala majibizano na mtu
inaandika hivi Msaada tafadhari
Email Yako ya malalamiko tumeipokea na tunaifanyia kazi, tafadhari endelea kusubiri.
Whatsapp support team
 
Asante mtumushi
 
 
Niligundua shida ni simu ninayotumia ni oppo ina android ndogo kama
Alivyoelezea mdau mmoja maana Kila nikibadilisha namba nayo inakwenda na maji mbaya zaidi wakii -burn huwezi Tena kuiweka kwenye simu nyingine iwe Samsung, Infinix ,Tecno etc. mpaka nimechoka
 
Duh
 
Tatizo Hilo huwapata endapo idadi ya wanao ku block ni kubwa...sasa jiulize umewakosea nini jamaa zako Hadi wakublock kwa wingi...?

Whatsapp wanayo hiyo system mbaya watu 10 au zaidi wakikublock kwa kipindi kinacho fuatana lazima tu block ukuhusu....!​
 
Ishu siyo block ishu ni aina ya simu
Kwa mfano namba unaiweka saiz baada ya masaa mawili inakuwa burned hapo nani kakublock
A
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…