Msaada: Nimefungiwa Whatsapp account yangu

Msaada: Nimefungiwa Whatsapp account yangu

Jaman naombe niwambie wale anaoleta simu za oppo hapa tz
Niligundua shida ni simu ninayotumia ni oppo ina android ndogo kama
Alivyoelezea mdau mmoja maana Kila nikibadilisha namba nayo inakwenda na maji mbaya zaidi wakii -burn huwezi Tena kuiweka kwenye simu nyingine iwe Samsung, Infinix ,Tecno etc. mpaka nimechoka
chunguza vizuri wanasema kuwa simubza oppo zimekuwa banned huko dubai kwaiyo zifika tz zinasumbua whatsapp sana
 
Back
Top Bottom