Hivi wewe akili huna Google huwa unatumia kuifanyia nini kila document kuhusu gari ipo online we unamtegemea fundi wa gari anayetembea na nyundoShukran, na piah hapo kwenye gearbox ndo kuna kipengere mafundi hawaelewi kama ni CVT ama sio, Trans code yake ni K411, fundi anasema oil ya kuweka ni ATF T IV
Nadhani ni suala la uelewa tu, CVT vehicle at initial acceleration zipo slow maana zinatumia gear ratio ila with time inakuwa ni noma. Mfumo wake ni tofauti na traditional automatic transmission. Gearbox zake zipo na pulley belt ambayo ndio inazungusha gearbox at a continuous gear ratio.Kuchelewa kuchanganya mara nyingi ni tatizo la engine yenyewe na si gearbox. Kwanza haishauriwi ku change oil ya gearbox na ili ku change inabidi gari iwe imetembea sana yan karibia km elf 60 huko google utaona hiki kitu na uki change nunua oil ile wanaita hydropress 68 nyeupe hivi . Angalia sana hao mafundi mchundo ndo wanaharibu magari
Ntakupa kisa changu , engine iliwahi nisumbua karibia miezi sita nimebadili sana oil, plug , coil n.k. Baadae nikaanza ku notice brake zinajishika zenyewe hasa nikitembea sana hapo fundi akasema tu change brake master, nika change ila baadae ikarudi. Siku nikaamua ku google nikapata majibu quora kwamba ni hose zinaweza kuwa na leakage, Mwisho nimekuja kutengeneza mwenyewe kwa issue ndogo tu horse ya engine kwenda kwenye brake booster ilikuwa ina leakage ambayo kwa macho huwezi ona ila engine ilikuwa haivuti vizuri toka kwenye master(iliungwa somewhere ). Nikatafuta hose nyingine kipande kwa buku 5 hapo temeke hata si cha hii gari nikakiweka jumapili moja , kuwasha gari imetulia sana na ina compression ya kutosha na ina change gear on time. Mwanzo wakati engine haiwaki vizuri na ina miss miss gear box pia ilikuwa haichange vizuri mpaka kuisikilizia. Nimekuja ku confirm mafundi ndo wanaharibu magari na wengi shule hawataki kwenda.
Kwenye haya matatizo ya magari always start with simple things kabla ya kukimbilia kwenye mambo ya gharama ambayo ndo huwa majibu ya mafundi muda wote.
Kuna jamaa yangu aliambiwa anunue engine mpya baada ya fundi mmoja ku husle siku mbili engine inagoma ku start, kama bahati nilienda kwake nikawakuta mafundi sasa katika kutizama huku na huko tukakuta kwenye camshaft kuna jino linevunjika, huwezi amini ilinunuliwa cam nyingine kwa elf 70 na tatizo likaishia hapo hapo. Kuna Mwingine alishawahi kupeleka hadi engineering tatizo la kuchemsha, kumbe ilikuwa water pump na ilikuja julikana baada ya kutumia ile leakage stopper ya rejeta, ile dawa inauzwa elf sita ila baada ya kuweka kesho yake engine ikawa inapiga kelele sana kuja kuchek kumbe ni water pump ya elf 30 tu na tatizo la kuchemsha hajawahi kulisikia tangia siku hiyo.
Sorry nimekusudia transmission fluid mkuuIshaanza kuwa nyeusi mkuu, fundi alisema next service yaweza badirishwa
Sisi mafundi wa mtaani Huwa tunajifunzia ufundi kwenye magari yenu kwahiyo tuvumiliane mkuu usituchoke mkuu kama kuna shida ilete tu tunaweza kukuharibia gari ila mwingine akija hatutaharibu maana tutakua tumejifunza kutokana na makosa
Inashauriwa kubadili oil ya gear box kila baada ya 12,000 km.Gari zetu za sikuhizi hazina dipstick hasa hizi CVT transmission ndiyo maana oil yake inakuwa recommended 30,000 km ndipo unaweza kubadilisha
Are you serious??Inashauriwa kubadili oil ya gear box kila baada ya 12,000 km.
Pole sana mkuu ndio mafundi wetu hao. Kuhusu Engine Oil 20W-50 ni nzito sana, magari mengi kuanzia mwaka 2010 spacing ya mechanical assemby ya engine parts ni ndogo sana, hivyo kutumia Engine Oil yenye viscosity nzito ni risk kubwa regardless of our environment ambayo ni joto hivyo oil ambayo ni recommended ni 5W-30 (Angalia attachment).Wandugu habari zenu naomba msaada maana hapa ndipo lilipochimbuko la ukweli. Nimenunua Ractis new model ikiwa na genuine km (20k) kutoka japan ( certification ya mtu alonunua toka kiwandani nilipewa).
Engine 1NR-FE, sikufanikiwa kupewa user manual
Ilipofika katika kutembelea nikaenda kufanya service ya engine, picha linaanza fundi kaweka oil 20w-50 for high mileage cars (alidai gari km zimechezewa sio halisi, mimi sikumwambia kama nimenunua toka nje). Gari ni nzito na inaunguruma sana ukiwa unaiwasha.
Baada ya hapo akatoa ushauri kuwa gari inachelewa kuchanganya tubadilishe gearbox oil na piah gari inahama sana barabarani ukiachia power steering kwenye high speed hivyo tubadilishe "bush", hapo kwenye gearbox alishauri oil fulani nikapata wasiwasi kidogo, katika kuchake kibati kwenye gari, Trans ina namba hizi K411. Kwa ujuzi wa nyuzi kadhaa hapa JF hii gearbox yake ni CVT. Fundi zaidi ya wawili tofauti walishauri oil ya T- IV ambayo hii ni ATF.
So far kwa madini niliyokwisha kuyapata humu oil inayofaa kwenye hii gari ni 5W-30 na niko kwenye mchakato wa kubadili.
Naombeni msaada hapa kwenye aina ya oil ya gearbox maana nahisi dalili za kuuwa hii gari kabisa nisipokua makini
ooho ngoja leo nikasome oil niliyowekewaPole sana mkuu ndio mafundi wetu hao. Kuhusu Engine Oil 20W-50 ni nzito sana, magari mengi kuanzia mwaka 2010 spacing ya mechanical assemby ya engine parts ni ndogo sana, hivyo kutumia Engine Oil yenye viscosity nzito ni risk kubwa regardless of our environment ambayo ni joto hivyo oil ambayo ni recommended ni 5W-30 (Angalia attachment).
Kuhusu CVT Gearbox-Oil ya gari yako kama ulivyosema Transmission Code yake ni K411, hivyo hio gari sio Traditinal Automatic Transmission ambazo zinatumia ATF kama fundi alivyotaka kukuharibia gari lako. Jibu sahihi Transmission Code hio ni kwa Toyota Vehicles zenye CVT. So jibu ni gari kuamzia mwaka 2010→ K411 - for models with 1.3 1NR-FE engine (Vitz, Corolla Axio, Ractis/Verso-S/Trezia, Probox/Succeed, Porte/Spade). Basic CVT Oil-type ni - Aisin AW XA-12SN (Toyota genuine CVT Fluid FE) see attachment.
Umefanya uamuzi mzuri wa kusitisha zoezi la umwagaji wa gearbox-oil jamaa angekuingiza kwenye unneccessary expenses.
umeshanunua crown tayari?ooho ngoja leo nikasome oil niliyowekewa
Hiyo gari kwa mwenendo huo ikitoboa mwaka sijui.Wandugu habari zenu naomba msaada maana hapa ndipo lilipochimbuko la ukweli. Nimenunua Ractis new model ikiwa na genuine km (20k) kutoka japan ( certification ya mtu alonunua toka kiwandani nilipewa).
Engine 1NR-FE, sikufanikiwa kupewa user manual
Ilipofika katika kutembelea nikaenda kufanya service ya engine, picha linaanza fundi kaweka oil 20w-50 for high mileage cars (alidai gari km zimechezewa sio halisi, mimi sikumwambia kama nimenunua toka nje). Gari ni nzito na inaunguruma sana ukiwa unaiwasha.
Baada ya hapo akatoa ushauri kuwa gari inachelewa kuchanganya tubadilishe gearbox oil na piah gari inahama sana barabarani ukiachia power steering kwenye high speed hivyo tubadilishe "bush", hapo kwenye gearbox alishauri oil fulani nikapata wasiwasi kidogo, katika kuchake kibati kwenye gari, Trans ina namba hizi K411. Kwa ujuzi wa nyuzi kadhaa hapa JF hii gearbox yake ni CVT. Fundi zaidi ya wawili tofauti walishauri oil ya T- IV ambayo hii ni ATF.
So far kwa madini niliyokwisha kuyapata humu oil inayofaa kwenye hii gari ni 5W-30 na niko kwenye mchakato wa kubadili.
Naombeni msaada hapa kwenye aina ya oil ya gearbox maana nahisi dalili za kuuwa hii gari kabisa nisipokua makini
Service ya Gearbox siyo lazimashida ilianzia hapo. Hiyo ni oil yenye viscosity kubwa yafaa kuweka katika fuso au magari ya mizigo mikubwa wewe umeweka katika Ractis.
Tafuta ya 5w30 liduimoly, castrol, total au oryx. Hiyo oil mwaga haraka fanya service ya gearbox pia.
Hizo gearbox hazina dipstickAina ya oil ya gearbox hua inaandikwa kwenye iyo DIPSTICK
Walioko Gulf wanaweka 5W 30 na joto la Gulf unalijua, Wewe uko Darisalama hapa unaweka 20W 50 hii ni hesabu ya wapi?Kwenye upande wa selection ya oil sioni tatizo la fundi chief. 20w-50 au 5w-30 zote zinafaa kwa matumizi ya gari yako. Uchaguzi wa oil gani kati ya hizo itategemea mazingira gani unatumia gari lako.
Oil ya 20W-50: tuanze na neno 20W. Hii maana yake oil itabaki na ubora wake katika nyuzi joto 20 wakati wa winter mpaka nyuzi joto 50.
Kwaiyo kama gari yako unalitumia katika maeneo yenye joto kali, kama Dar es salaam kipindi cha kiangazi, ambapo nyuzi joto hufikia zaiid ya 35 degree, Hii ndo Oil ya kuweka kwenye gari yako katika kipindi icho.
Oil ya 5W-30: hii maana yake oil inabaki na viscocity yake katika nyuzi joto 5 wakati wa winter, na kumaintain viscocity yake hata nyuzi joto likifika 30.
5w-30 This is the best oil ya magari yanayutumika sehemu zenye baridi kali. Hasa kwa wenzetu uko ulaya, baadhi ya maeneo ya nyanda za juu kusini, arusha au Njombe. Maana yake ni kwamba, hata baridi ikiwa kali, bado engine oil iliyo kwenye gari yako haitaganda, na itafaa kwenye matumizi ya engine yako.
Hizi namba za kwenye oil zina maana kubwa sana, tujitahidi kuzielewa. 20W-50 was the best choice kama unatumia gari yako maeneo yenye joto kali hasa Dar es salaam.
Iyo option uliochagua ya 5W-30 jua la Dar likikomaa kama ilivyokuwa mwezi october...Temperature ikifika above 30 degrees iyo oil itaanza kupoteza ubora wake. Na utatakiwa kuimwaga hata kabla haijamaliza service life yake.
Its Simply ignorance....hata uko gulf wasio na uelewa wapo.Walioko Gulf wanaweka 5W 30 na joto la Gulf unalijua, Wewe uko Darisalama hapa unaweka 20W 50 hii ni hesabu ya wapi?
Japan wanaweka 0W 20 maeneo yenye joto ndio 5W 30. Ukifunua Bonet wameandika
Tafsiri ya huo muungurumo anaolalamika jamaa unauelewa?Its Simply ignorance....hata uko gulf wasio na uelewa wapo.
Kuna mamia ya sababu ya mngurumo wa gari kuwa tofauti, hatuwezi kujustify kwamba shida ni oil wakati mimi na wewe hatujausikia mngurumo usika ni wa namna gani zaidi ya kuhadithiwa hapa.Tafsiri ya huo muungurumo anaolalamika jamaa unauelewa?
Ukipata nafasi unaweza pitia hii article utaweza kuokota mawili matatu..Tafsiri ya huo muungurumo anaolalamika jamaa unauelewa?
Mapendekezo ya manufacturer wa engine ni muhimu ila si kwa kila scenario. Magari mengi tunayotumia sisi yamekuwa designed kwaajili ya kumeet japanese/ european market. Market walioilenga wao huwa inabaridi muda mwingi so ni kawaida wao kurecommend 5w-30 oil.Vyote vipo google kama hivyo
5W-30 VS 10W-30
Oil ya 10W–30 inakua nzito kunapokuwa na baridi. Kulingana na mapendekezo ya API (1) kwa injini za magari, unaweza kutumia oil ya 10W–30 ikiwa kiwango cha juu cha joto kinachotarajiwa nje ni zaidi ya -18°C (0°F).
Ikiwa unaishi katika eneo ambalo joto la nje linaweza kwenda chini ya sifuri; Ni bora kutumia 5W-30. Inashauriwa pia kufata mapendekezo ya mtengenezaji wa injini.