Msaada Nimegundua Fundi anaweza ua kabisa gari yangu

Msaada Nimegundua Fundi anaweza ua kabisa gari yangu

Kwenye upande wa selection ya oil sioni tatizo la fundi chief. 20w-50 au 5w-30 zote zinafaa kwa matumizi ya gari yako. Uchaguzi wa oil gani kati ya hizo itategemea mazingira gani unatumia gari lako.

Oil ya 20W-50: tuanze na neno 20W. Hii maana yake oil itabaki na ubora wake katika nyuzi joto 20 wakati wa winter mpaka nyuzi joto 50.

Kwaiyo kama gari yako unalitumia katika maeneo yenye joto kali, kama Dar es salaam kipindi cha kiangazi, ambapo nyuzi joto hufikia zaiid ya 35 degree, Hii ndo Oil ya kuweka kwenye gari yako katika kipindi icho.

Oil ya 5W-30: hii maana yake oil inabaki na viscocity yake katika nyuzi joto 5 wakati wa winter, na kumaintain viscocity yake hata nyuzi joto likifika 30.

5w-30 This is the best oil ya magari yanayutumika sehemu zenye baridi kali. Hasa kwa wenzetu uko ulaya, baadhi ya maeneo ya nyanda za juu kusini, arusha au Njombe. Maana yake ni kwamba, hata baridi ikiwa kali, bado engine oil iliyo kwenye gari yako haitaganda, na itafaa kwenye matumizi ya engine yako.

Hizi namba za kwenye oil zina maana kubwa sana, tujitahidi kuzielewa. 20W-50 was the best choice kama unatumia gari yako maeneo yenye joto kali hasa Dar es salaam.

Iyo option uliochagua ya 5W-30 jua la Dar likikomaa kama ilivyokuwa mwezi october...Temperature ikifika above 30 degrees iyo oil itaanza kupoteza ubora wake. Na utatakiwa kuimwaga hata kabla haijamaliza service life yake.
Inakuaje Dubai na jangwa lile waarabu wanatumia 5w-30?
 
Inakuaje Dubai na jangwa lile waarabu wanatumia 5w-30?
Ignorance.....i said it before ...hata uwarabuni wapuuzi wapo.

Soma instruction ya oil manufacturer kabla hujatumia oil yake. Going against it ni upuuzi wetu wenyewe.
 
Ignorance.....i said it before ...hata uwarabuni wapuuzi wapo.

Soma instruction ya oil manufacturer kabla hujatumia oil yake. Going against it ni upuuzi wetu wenyewe.
Hakuna kitu Kama hicho.

VISCOSITY is the key.
 
Hakuna kitu Kama hicho.

VISCOSITY is the key.
Viscosity is being affected na temperature, take that into account. Leta hoja kama mtaalam...tusiwe tunabishana bila facts afsa. huku ni kupotezeana muda.
 
Viscosity is being affected na temperature, take that into account. Leta hoja kama mtaalam...tusiwe tunabishana bila facts afsa. huku ni kupotezeana muda.
Sidhani kama hii ndio strong reason ya ku-justify matumizi ya oil zenye viscocity nzito kwenye nchi zenye joto kama Tanzania.
Gari nyingi kuanzia mwaka 2010 recommended oil ni 0W-20 au 0W-30 regardless mazingira yeyote kwa sababu spacing ya mechanical assemby ya engine parts ni ndogo sana, viscocity hii inaweza himili joto la nje mpaka 50 degree centigrade angalia hapa chini, Je, kwa Tanzania ni maeneo yapi yana joto hilo? hivyo kasumba ya oil nzito kisa joto sidhani kama ndio sababu ya msingi. Kikubwa baki kwenye manufacturer recommended engine oil kwa ajili ya uhai na matumizi bora ya mafuta kwenye gari yako.
OIL-1.PNG
 
Hiyo gari kwa mwenendo huo ikitoboa mwaka sijui.

Mkuu, kuna mambo ni magumu hata kuyaelezea,

Wangekubadilishia oil ya gearbox huenda ungekuwa gari ushaipaki unasubiri kununua gearbox au ushanunua gearbox nyingine kwa gharama kubwa Gearbox za CVT si mchezo kwa gari yenye 1nr najua ni miaka ya mbelembele huku.

Tafuta Oil ya 5W 30 original, service interval ni 10,000Km.

Oil ya gearbox calm down, hizo Oil za CVT unatoboa 100k km bila shida yoyote, usitafute matatizo ambayo yamekaa mahali yametulia.
Mkuu nimekuibox
 
Kuchelewa kuchanganya mara nyingi ni tatizo la engine yenyewe na si gearbox. Kwanza haishauriwi ku change oil ya gearbox na ili ku change inabidi gari iwe imetembea sana yan karibia km elf 60 huko google utaona hiki kitu na uki change nunua oil ile wanaita hydropress 68 nyeupe hivi . Angalia sana hao mafundi mchundo ndo wanaharibu magari

Ntakupa kisa changu , engine iliwahi nisumbua karibia miezi sita nimebadili sana oil, plug , coil n.k. Baadae nikaanza ku notice brake zinajishika zenyewe hasa nikitembea sana hapo fundi akasema tu change brake master, nika change ila baadae ikarudi. Siku nikaamua ku google nikapata majibu quora kwamba ni hose zinaweza kuwa na leakage, Mwisho nimekuja kutengeneza mwenyewe kwa issue ndogo tu horse ya engine kwenda kwenye brake booster ilikuwa ina leakage ambayo kwa macho huwezi ona ila engine ilikuwa haivuti vizuri toka kwenye master(iliungwa somewhere ). Nikatafuta hose nyingine kipande kwa buku 5 hapo temeke hata si cha hii gari nikakiweka jumapili moja , kuwasha gari imetulia sana na ina compression ya kutosha na ina change gear on time. Mwanzo wakati engine haiwaki vizuri na ina miss miss gear box pia ilikuwa haichange vizuri mpaka kuisikilizia. Nimekuja ku confirm mafundi ndo wanaharibu magari na wengi shule hawataki kwenda.

Kwenye haya matatizo ya magari always start with simple things kabla ya kukimbilia kwenye mambo ya gharama ambayo ndo huwa majibu ya mafundi muda wote.

Kuna jamaa yangu aliambiwa anunue engine mpya baada ya fundi mmoja ku husle siku mbili engine inagoma ku start, kama bahati nilienda kwake nikawakuta mafundi sasa katika kutizama huku na huko tukakuta kwenye camshaft kuna jino linevunjika, huwezi amini ilinunuliwa cam nyingine kwa elf 70 na tatizo likaishia hapo hapo. Kuna Mwingine alishawahi kupeleka hadi engineering tatizo la kuchemsha, kumbe ilikuwa water pump na ilikuja julikana baada ya kutumia ile leakage stopper ya rejeta, ile dawa inauzwa elf sita ila baada ya kuweka kesho yake engine ikawa inapiga kelele sana kuja kuchek kumbe ni water pump ya elf 30 tu na tatizo la kuchemsha hajawahi kulisikia tangia siku hiyo.
Hii comment imenifanya vitu vingi vipite kichwani na kunipa tafakuri mpya.

Kuanzia leo, google ndio atakua fundi wangu namba 1 halafu hawa mafundi wa kibongo watakua watekelezaji tu.
 
Hii comment imenifanya vitu vingi vipite kichwani na kunipa tafakuri mpya.

Kuanzia leo, google ndio atakua fundi wangu namba 1 halafu hawa mafundi wa kibongo watakua watekelezaji tu.
Oil pressure fundi anapima kwa kuziba na kiganja cha mkono 😂😂😂

Kuna mafundi umeme wanatumia waya wanaunga na balbu ikiwaka tu anakwambia umeme unapita wakati unaweza kuta tatizo ni kiasi cha voltage labda haitoshi 😂
Plug wanagusisha kwenye engine au earth anakwambia moto unatosha au hautoshi, Suala la kutumia vifaa kujua umeme kiasi gani unapita yeye anapigisha short ili ajue kama kuna umeme au la.
Ni mafundi wachache sana wanaoweza kukupa tofauti ya voltage na ampere, wachache sana.
Kuna umuhimu wa kum control fundi kwa kile anachokifanya, mfano kuna fundi nilimwambia afungue na kusafisha cylinder za brake ile kulala chini ya gari akaanza bro naona na bush zimekufa nikamwambia fundi kazi niliyokupa ni kusafisha cylinder tu
 
Kuchelewa kuchanganya mara nyingi ni tatizo la engine yenyewe na si gearbox. Kwanza haishauriwi ku change oil ya gearbox na ili ku change inabidi gari iwe imetembea sana yan karibia km elf 60 huko google utaona hiki kitu na uki change nunua oil ile wanaita hydropress 68 nyeupe hivi . Angalia sana hao mafundi mchundo ndo wanaharibu magari

Ntakupa kisa changu , engine iliwahi nisumbua karibia miezi sita nimebadili sana oil, plug , coil n.k. Baadae nikaanza ku notice brake zinajishika zenyewe hasa nikitembea sana hapo fundi akasema tu change brake master, nika change ila baadae ikarudi. Siku nikaamua ku google nikapata majibu quora kwamba ni hose zinaweza kuwa na leakage, Mwisho nimekuja kutengeneza mwenyewe kwa issue ndogo tu horse ya engine kwenda kwenye brake booster ilikuwa ina leakage ambayo kwa macho huwezi ona ila engine ilikuwa haivuti vizuri toka kwenye master(iliungwa somewhere ). Nikatafuta hose nyingine kipande kwa buku 5 hapo temeke hata si cha hii gari nikakiweka jumapili moja , kuwasha gari imetulia sana na ina compression ya kutosha na ina change gear on time. Mwanzo wakati engine haiwaki vizuri na ina miss miss gear box pia ilikuwa haichange vizuri mpaka kuisikilizia. Nimekuja ku confirm mafundi ndo wanaharibu magari na wengi shule hawataki kwenda.

Kwenye haya matatizo ya magari always start with simple things kabla ya kukimbilia kwenye mambo ya gharama ambayo ndo huwa majibu ya mafundi muda wote.

Kuna jamaa yangu aliambiwa anunue engine mpya baada ya fundi mmoja ku husle siku mbili engine inagoma ku start, kama bahati nilienda kwake nikawakuta mafundi sasa katika kutizama huku na huko tukakuta kwenye camshaft kuna jino linevunjika, huwezi amini ilinunuliwa cam nyingine kwa elf 70 na tatizo likaishia hapo hapo. Kuna Mwingine alishawahi kupeleka hadi engineering tatizo la kuchemsha, kumbe ilikuwa water pump na ilikuja julikana baada ya kutumia ile leakage stopper ya rejeta, ile dawa inauzwa elf sita ila baada ya kuweka kesho yake engine ikawa inapiga kelele sana kuja kuchek kumbe ni water pump ya elf 30 tu na tatizo la kuchemsha hajawahi kulisikia tangia siku hiyo.
Ww una experience na Magari ndomana ukang’amua changamoto baadhii,

Shida cc wengine hatuna idea kabisa, na anachosema Fundi tumekuwa tunafwata hicho hicho cz hatuna taaluma n vyombo vya moto,

Mwisho wa siku tunaishia kuharibiwa vyombo vyetuu…

Daah!!! Kweli bongo nyoso 🙌🏽
 
Back
Top Bottom