Msaada Nimegundua Fundi anaweza ua kabisa gari yangu

Inakuaje Dubai na jangwa lile waarabu wanatumia 5w-30?
 
Inakuaje Dubai na jangwa lile waarabu wanatumia 5w-30?
Ignorance.....i said it before ...hata uwarabuni wapuuzi wapo.

Soma instruction ya oil manufacturer kabla hujatumia oil yake. Going against it ni upuuzi wetu wenyewe.
 
Ignorance.....i said it before ...hata uwarabuni wapuuzi wapo.

Soma instruction ya oil manufacturer kabla hujatumia oil yake. Going against it ni upuuzi wetu wenyewe.
Hakuna kitu Kama hicho.

VISCOSITY is the key.
 
Hakuna kitu Kama hicho.

VISCOSITY is the key.
Viscosity is being affected na temperature, take that into account. Leta hoja kama mtaalam...tusiwe tunabishana bila facts afsa. huku ni kupotezeana muda.
 
Viscosity is being affected na temperature, take that into account. Leta hoja kama mtaalam...tusiwe tunabishana bila facts afsa. huku ni kupotezeana muda.
Sidhani kama hii ndio strong reason ya ku-justify matumizi ya oil zenye viscocity nzito kwenye nchi zenye joto kama Tanzania.
Gari nyingi kuanzia mwaka 2010 recommended oil ni 0W-20 au 0W-30 regardless mazingira yeyote kwa sababu spacing ya mechanical assemby ya engine parts ni ndogo sana, viscocity hii inaweza himili joto la nje mpaka 50 degree centigrade angalia hapa chini, Je, kwa Tanzania ni maeneo yapi yana joto hilo? hivyo kasumba ya oil nzito kisa joto sidhani kama ndio sababu ya msingi. Kikubwa baki kwenye manufacturer recommended engine oil kwa ajili ya uhai na matumizi bora ya mafuta kwenye gari yako.
 
Mkuu nimekuibox
 
Hii comment imenifanya vitu vingi vipite kichwani na kunipa tafakuri mpya.

Kuanzia leo, google ndio atakua fundi wangu namba 1 halafu hawa mafundi wa kibongo watakua watekelezaji tu.
 
Hii comment imenifanya vitu vingi vipite kichwani na kunipa tafakuri mpya.

Kuanzia leo, google ndio atakua fundi wangu namba 1 halafu hawa mafundi wa kibongo watakua watekelezaji tu.
Oil pressure fundi anapima kwa kuziba na kiganja cha mkono 😂😂😂

Kuna mafundi umeme wanatumia waya wanaunga na balbu ikiwaka tu anakwambia umeme unapita wakati unaweza kuta tatizo ni kiasi cha voltage labda haitoshi 😂
Plug wanagusisha kwenye engine au earth anakwambia moto unatosha au hautoshi, Suala la kutumia vifaa kujua umeme kiasi gani unapita yeye anapigisha short ili ajue kama kuna umeme au la.
Ni mafundi wachache sana wanaoweza kukupa tofauti ya voltage na ampere, wachache sana.
Kuna umuhimu wa kum control fundi kwa kile anachokifanya, mfano kuna fundi nilimwambia afungue na kusafisha cylinder za brake ile kulala chini ya gari akaanza bro naona na bush zimekufa nikamwambia fundi kazi niliyokupa ni kusafisha cylinder tu
 
Ww una experience na Magari ndomana ukang’amua changamoto baadhii,

Shida cc wengine hatuna idea kabisa, na anachosema Fundi tumekuwa tunafwata hicho hicho cz hatuna taaluma n vyombo vya moto,

Mwisho wa siku tunaishia kuharibiwa vyombo vyetuu…

Daah!!! Kweli bongo nyoso 🙌🏽
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…