Msaada: Nimeibiwa ndege yangu Airport

Msaada: Nimeibiwa ndege yangu Airport

kipipili

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
1,587
Reaction score
186
Wanajukwaa nimechanganyikiwa. Ndege yangu aina ya Dash 8 imepotea katika mazingira ya kutatanisha, niliipaki Airport ya Uwanja wa ndege.

Mwenye taarifa anipm tafadhali.
 
Bora hata wewe una mawazo ya kumiliki ndege kuliko haya maccm kila siku Ulaya kuomba omba.
 
Hii huku njoo uichukue nimekuta watu wanainyonya mafuta
 
Naona watu kibao cocobeach wameona mabaki yake ufukweni hapa
 
Wanajukwaa nimechanganyikiwa. Ndege yangu aina ya Dash 8 imepotea katika mazingira ya kutatanisha, niliipaki Airport ya Uwanja wa ndege.

Mwenye taarifa anipm tafadhali.
Tupatie namba zake za usajili 5H...tza 5Y...Kny 5x...uga
 
jet a1 lita iwe elfu kumi cdhan mtu angepanda ndege ile ni kerosene tu lita ilikuwa buku na 600 wakati shel ikiwa buku 2, eniwei nimekuta wanaichomoa power window
 
Back
Top Bottom