Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume ghafla!

Asante kwa ushauri kuntu mkuu. Ushauri huu nitaufanyia kazi kikamilifu
 
Duuh pole aisee.
Kwa kifupi wewe jiamini tuu. Hofu itaendelea kukudidimiza zaidi.
 
Fanya mazoezi ya kutoa jasho,Pata chakula lishe,mboga za majani na saladi ya matunda kwa muda,achana na vilevi au kemikali yoyote kama ulikuwa unatumia kama stata katika tendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…