Msaada: Nimekuta risiti kwenye mkoba wa mke wangu, naomba kuitambua

Msaada: Nimekuta risiti kwenye mkoba wa mke wangu, naomba kuitambua

Naomba msaada juu ya hii risiti. Nimekuita kwenye mkoba wa mke wangu nimeumiza kichwa ila bado sijapata jibu sahihi naona tu TRA na hiyo Sheri na mke wangu hana usafiri wowote naomba mnifumbue macho.

Wife wako ana gari yake,sema anakuficha, na amemkabidhi Kijana mmoja ndiyo anapiga nayo kazi za Ubar,na kuna muda huwa anamwita ampeleke safari zake, leo Mungu kakufungua Macho kwa kumfanya mkeo asahau hizo risiti kwa mkoba wake, Sasa aanza uchunguzi wa kimyakimya!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
We poyoyo kweli aise, kwaiyo kutunza au kulinda familia ni kuchunguza mkoba wa mkeo? Acha ufala kama baba ako yupo muulize kama alishawai kufungua mkoba wa mama yako ebo.... kwaiyo huo ndo uwanaume kusachi mkoba wa mkeo? Nyie ndo marioo pumbavu kabisa na ulikuwa unataka umzame uwibe ela ukakutana nacho jikaze fwala wewe
Kama kuna viashiria vya uvunjifu wa amani ndani ya Nyumba,ni muhimu sana Mwanaume uwe unasachi simu pamoja na mkoba wa mkeo mara kwa mara,ila sachi kwa akili sana Kama Kachero mbobezi!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom