Msaada: Nimekuta risiti kwenye mkoba wa mke wangu, naomba kuitambua

Msaada: Nimekuta risiti kwenye mkoba wa mke wangu, naomba kuitambua

Alikuwa kwenye gari ya work mate wake seat ya abiria, work mate akampa hela amlipe pump attendant mkeo alipopewa risiti akadumbukiza kwa hand bag yake.
We phaller nimekumiss halafu sikupati watsap..!!
 
Kuna watu wanajua kukagua!! Nakumbuka rafiki yangu aliwahi kuangalia ticket ya daladala niliyotoa kwenye pochi niitupe akaniuliza we daladala za huku ulipanda kwenda wapi? Si ulikuwa unaenda kule? Nikamwambia duh we ni balaa 😄
 
Naomba msaada juu ya hii risiti. Nimekuita kwenye mkoba wa mke wangu nimeumiza kichwa ila bado sijapata jibu sahihi naona tu TRA na hiyo Sheri na mke wangu hana usafiri wowote naomba mnifumbue macho.


Hauna kazi mkuu

Ukianza kuwa bize na kutafuta ela utajikuta wewe na mkeo mnaonana usiku wakati wa kulala.
Stori mbili tatu, unakula mzigo unalala. Alfajiri unapoamka mnasamiliana unaoga unasepa hiyo ndo routine ya kila siku[emoji23][emoji23]
 
Ndoa haziendi hivyo, mke anatakiwa kuwa rafiki yako, hivyo vitu kama hivi unamuuliza tuu kama rafiki.

Kuna masela wengine nimazwazwa sasa risiti ya Mafuta kapaniki!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeongea vizuri nimependa comment yako
 
Jibu zuri analo mke wako fanya kumuliza huku utapata maudhi tu
Kingine usipende sana kupekua pekua mkoba wa mke wako au kukimbilia simu akiiacha mara usome msg mara ufatilie nani kampigia utakufa buree
 
Naomba msaada juu ya hii risiti. Nimekuita kwenye mkoba wa mke wangu nimeumiza kichwa ila bado sijapata jibu sahihi naona tu TRA na hiyo Sheri na mke wangu hana usafiri wowote naomba mnifumbue macho.


Umemuuliza amesemaje?... hawa huwa watundu wanakuwa na boda boda, uber au bajaji zao mkuu. Ni swala la kumpongeza zaidi kama ni mtundu kiasi hicho.
 
Wewe ndo hujui Kama Mkeo anamiliki gari, ila aliemnunulia anajua kwamba huwa anapaki hilo gari wapi?
 
Ndoa haziendi hivyo, mke anatakiwa kuwa rafiki yako, hivyo vitu kama hivi unamuuliza tuu kama rafiki.
Kabisa maana hii sasa ni kuwindana... je ingekuwa risiti ya gesti?
 
Sawa, sasa yeye hana usafiri wowote imefikaje kwake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanaume mmekuwaje jamani[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Hilo ni swali la kuuliza jf kweli? Haya itakuwa kaiokota.
 
Mkoba wa mwanamke hauchunguzwi
 
Watu mna mda wa kupoteza, Mm simfatilii kabisa wife
 
Iyo ni red Flag mzee baba. Wanaosema husimchunguze bata washazoea vyao kuliwa na wao wanakula nje. Sasa mtu mnaonana uchi kila siku halaf anakuambia kwann unakagua begi la mkeo. Na sio kukagua labda alitaka amuachie kiasi cha matumizi au amuongezee... kuweni makin na ndoa aisee

Fanya uchunguzi wa kimya kimya. Maana tabia ni kama ngozi. We kuwa mpole ucheki signs nyingine au mabadiliko katika tabia zake.

Ukishajua ndo uunge matukio utapata jibu.
 
Back
Top Bottom