YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Unamuuliza baada ya kupekua mkoba wake bila ridhaa yake? Hapo moto lazima uwake ulikuwa unatafuta nini kwenye mkoba wake bila ruksa yake?Ndoa haziendi hivyo , mke anatakiwa kuwa rafiki yako, hivyo vitu kama hivi unamuuliza tuu kama rafiki.
Kifupi huyo mume Bwege na haba akili za kuishi na mwanamke
Biblia imeagiza wazi kuwa enyi waume ishini na wake zenu kwa akili .Huyo mwanaume akili hana
Na mwanaume ukisikia ooh mimi sioi akili hana ya kuweza kuishi na mwanamke
Vitu private kama mkoba wa kike,simu na pochi ya mwanaume na simu yake vibaki private
Mwanaume alichofanya ni utoto na asirudie tena akome kabisa kama hakufunzwa arudi akafunzwe