Msaada: Nimekuta risiti kwenye mkoba wa mke wangu, naomba kuitambua

Msaada: Nimekuta risiti kwenye mkoba wa mke wangu, naomba kuitambua

Naomba msaada juu ya hii risiti,,,Nimekuita kwenye mkoba wa mke wangu nimeumiza kichwa ila bado sijapata jibu sahihi naona tu TRA na hiyo Sheri naomba mnifumbue machoView attachment 2104693
Jibu maswali haya:

Mkeo anafanya kazi wapi, mkoa gani na mnaishi mkoa gani? Je mna kausafiri kenu au hamna?
 
Kipindi hiki si kizuri Sana hapa nchini. Naona huyu mwenzetu tayari analo jibu lake kuhusu hiyo risiti. Tunachoweza kumshauri asichukue hatua mbaya kama hizi tunazozikia kila uchao katika vyombo vya habari.

Asikurupuke kutoa adhabu bali aanze kwanza kumuuliza mkewe kuhusu hayo ambayo yamejitokeza.
 
Kwanza ukome kuanzia leo kupekuapekua mkoba wa mkeo, si ustaarabu na ni tabia mbaya inayoashiria kutojiamini na kutafuta ugomvi, pili kama inakukera basi muulize mkeo anayo majibu yote
 
Acha kujiumiza bure..yawezekana alipewa lift na rafiki yake wakafika sheli akamuomba amsaidi kumlipia pesa..hivyo risiti pia aliipokea yeye akaiweka kwenye mkoba.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuwa kwenye gari ya work mate wake seat ya abiria, work mate akampa hela amlipe pump attendant mkeo alipopewa risiti akadumbukiza kwa hand bag yake.
Jibu sahihi na zuri.

Mjadala umefungwa
 
Back
Top Bottom