Msaada: Nimekuta risiti kwenye mkoba wa mke wangu, naomba kuitambua

Msaada: Nimekuta risiti kwenye mkoba wa mke wangu, naomba kuitambua

Mke ana gari anakuficha
Wese la 49 tena gari engine kubwa hio
 
mmmmmmmh noma na mimi ilishanitokea kama hii
 
Naona unataka shetani akupitie ufanye tukio. Shauri yako, endelea na mawazo hasi mpaka utakapotengeneza kichwa cha habati....
 
Usiwe na wasiwasi sana na Mkewe Kama unamwamini jitahidi usiondoe imani hiyo ila tumia akili sana kweny Kumuamini!

Kkoo kuna tabia za kununua risiti zilizo maliza matumizi kwa wakat huo. Unaweza nunua Shuka ukapewa risiti ya Vifaa vya Magar. Muhimu ni iwe n bei tuu. Ivyo mkewe kupewa risiti ya Petrol station ni jambo la kawaid kwa Kkoo
 
Sawa sasa yeye hana usafiri wowote imefikaje kwake
Una uhakika gani kama hana usafiri wowote? Vipi kama anamiliki bajaj kwa siri na kumuajiri dereva wa kuiendesha hapo mjini?

Maana hana namna! Anaishi na mwanaume asiye jiamini!
 
Umesearch mkoba wa mke wako??? UNATAFUTA KUFA KWA PRESSURE WEWE.... atakuwa amelipia Lodge akaliwa mzigo.
Kuna wanaume hopeless kabisa unasearch mkoba wa mkeo ukikutana na pad iliyochafuka kwa kutumika utampigia yowe nani?

Simu,mkoba achana navyo

Tatizo la midume ambayo haijafunzwa au kwenda jando ndio hilo

Mafunzo ya jando na unyago yaingizwe kwenye mitaala ya masomo shuleni
 
Pole Mkuuu naona humu unaishia kukashfiwa tu.
Kwakuwa Risiti inajieleza wazi kwamba ni Afroil Mtwara. Nenda kwa Meneja na hiyo risiti uongee naye kirafiki akupitishe kwenye CCTV Camera utaona namba za gari alilopanda shemeji then utajiridhisha maaana Mji wa Mtwara siyo mkubwa kihivyo naamini utatambua hiyo gari ya nani hasa.
Usikubali maneno ya wakosaji kwamba usimchunguze mke. Mke lazima uishi nae ukimjua nje ndani mkuu endelea kupambana. Kikubwa usitangulize jazba
 
Back
Top Bottom