t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Anafanya kazi ? Pengine anaenda ku i claim hiyo hela ofisini kwao kwa hiyo amenunua risiti
Sawa sasa yeye hana usafiri wowote imefikaje kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sasa yeye hana usafiri wowote imefikaje kwake
Huu ndo ukweli.nimemjibu hivo hivo hata nilikuwa sijaona post yakoUsiwe na wasiwasi sana na Mkewe Kama unamwamini jitahidi usiondoe imani hiyo ila tumia akili sana kweny Kumuamini!
Kkoo kuna tabia za kununua risiti zilizo maliza matumizi kwa wakat huo. Unaweza nunua Shuka ukapewa risiti ya Vifaa vya Magar. Muhimu ni iwe n bei tuu. Ivyo mkewe kupewa risiti ya Petrol station ni jambo la kawaid kwa Kkoo
Miwanaume mijizi hiiiKumbe huwa mnapiga serch mikoba ya wake zenu?
Au ulikuwa unatafuta chenji???
Nimekuwajeila huyu [emoji23]
mmmmmmmh noma na mimi ilishanitokea kama hii
Pressure utaisikia kwa majirani.Alikuwa kwenye gari ya work mate wake seat ya abiria, work mate akampa hela amlipe pump attendant mkeo alipopewa risiti akadumbukiza kwa hand bag yake.
Unataka kusema Kwamba kuna jamaa mwenye usafiri wake anajipigia hapo?? Hahahaaa...Sawa sasa yeye hana usafiri wowote imefikaje kwake
Alimjazia Dada take mafuta kwenye gari.Sawa, sasa yeye hana usafiri wowote imefikaje kwake
Usikute kamsela kana IST tu
Sasa unataka akague ya nani,mnavyojiongelesha utadhani ni simpleMkuu acha kupekua mkoba wa mke wako, hiyo ni tabia ya hovyo sana.