Msaada: Nimekuta risiti kwenye mkoba wa mke wangu, naomba kuitambua

Naomba msaada juu ya hii risiti. Nimekuita kwenye mkoba wa mke wangu nimeumiza kichwa ila bado sijapata jibu sahihi naona tu TRA na hiyo Sheri na mke wangu hana usafiri wowote naomba mnifumbue macho.

Wife wako ana gari yake,sema anakuficha, na amemkabidhi Kijana mmoja ndiyo anapiga nayo kazi za Ubar,na kuna muda huwa anamwita ampeleke safari zake, leo Mungu kakufungua Macho kwa kumfanya mkeo asahau hizo risiti kwa mkoba wake, Sasa aanza uchunguzi wa kimyakimya!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kama kuna viashiria vya uvunjifu wa amani ndani ya Nyumba,ni muhimu sana Mwanaume uwe unasachi simu pamoja na mkoba wa mkeo mara kwa mara,ila sachi kwa akili sana Kama Kachero mbobezi!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…