Msaada: Nimelikanyaga, uume unatoa usaha

Ndi maana ya "Mshahara wa dhambi ni mauti" Nenda katibiwe pia pima ngoma maana tayari unagonoria.
 
Wakati unaendelea na matibabu kaonane na mchungaji akuongoze sara ya toba uachane na hiyo kitu. Biblia inasema aziniye na mwanamke hana akili kabisa, hivyo wahi kwa pastor ili urudishe akili zako.
 
ivi hayo magonjwa bado yapo khaaaaaaa pole sana wahi hosp japo watakwambia uje na aliyekuambukiza ....... pima zote kama unaweza kupata hii na ile nyingine pia pima
Ukimwi[emoji15] [emoji15]
 
Ukumbuke antibiotics nyingi haziendani na pombe kwahiyo ukianza dose ni bora kuacha kunywa mpaka uimalize pia ni muhimu kumaliza dose nzima uliyoandikiwa. Wengi wakifika katikati na tatizo limekwisha wanajiona wamepona.
Ahsante sana my ndg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…