Msaada: Nimelikanyaga, uume unatoa usaha

Msaada: Nimelikanyaga, uume unatoa usaha

Ndi maana ya "Mshahara wa dhambi ni mauti" Nenda katibiwe pia pima ngoma maana tayari unagonoria.
 
Wakati unaendelea na matibabu kaonane na mchungaji akuongoze sara ya toba uachane na hiyo kitu. Biblia inasema aziniye na mwanamke hana akili kabisa, hivyo wahi kwa pastor ili urudishe akili zako.
 
Ukumbuke antibiotics nyingi haziendani na pombe kwahiyo ukianza dose ni bora kuacha kunywa mpaka uimalize pia ni muhimu kumaliza dose nzima uliyoandikiwa. Wengi wakifika katikati na tatizo limekwisha wanajiona wamepona.
Ahsante sana my ndg
 
Back
Top Bottom