Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimkuwa kimya sana week iliyopita nilikuwa nimesafiri kidogo kwenda Mbeya kama kawaida ya Beberu-mpya nikamuona mtoto huyu ambae amenisabashia hii kitu, sasa jana ndo nimeona ari hii nifanyaje???
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Wahi hospitali mkuu na hayo magonjwa ya gono huwa yanaenda sambamba na ngoma.
Dah kweli bro?Usisahau kupima ule ugonjwa mwingine mkuu.
Aiseeeee sasa naendaje na pesa ndo imekata.hilo ni gono mkuu nenda hospital usifiche kitu lina tibika kama utapata tiba mapema ukichelewa ni balaaa.
Dah najuta sana brotherNenda hospitalini wewe na usirudie kula kavu tena ,ulifikiri ni mkeo huyo? Pole sana
Kaka ladha huwa haipo kwa mpiraNenda hospital wewe...halafu kwanini hamtumii kinga?
Ukimwi[emoji15] [emoji15]ivi hayo magonjwa bado yapo khaaaaaaa pole sana wahi hosp japo watakwambia uje na aliyekuambukiza ....... pima zote kama unaweza kupata hii na ile nyingine pia pima
Jamani naweza pata na ukimwi pia???ni kweli mkuu na kwa faida yako tu ni kwamba ukipata gono 50% unaweza kuwa umepata ukimwi.
Tamaa mbele mauti nyumaKaka ladha huwa haipo kwa mpira
Kweli ndg zanguni?Mbona umelileta hili siasani mkuu?
Usiache kupima na VVU maana gono na vvu ni kama anko na mjomba
Ahsante sana my ndgUkumbuke antibiotics nyingi haziendani na pombe kwahiyo ukianza dose ni bora kuacha kunywa mpaka uimalize pia ni muhimu kumaliza dose nzima uliyoandikiwa. Wengi wakifika katikati na tatizo limekwisha wanajiona wamepona.