Msaada: Nimelikanyaga, uume unatoa usaha

Kama itakuwa kwl cyo unatafuta kiki humu , bas wahi hospital upate tiba ya hyo kitu inatibika brother
 
Ukitaka upone mapema omba dokta akuandikie sindano. Ila sindano uvumilie maana ukichomwa moja tu unakaa chini kama nusu saa ndio unaanza kutembea
 
Nimekuwa kimya sana week iliyopita nilikuwa nimesafiri kidogo kwenda Mbeya kama kawaida ya Beberu-mpya nikamuona mtoto huyu ambae amenisabashia hii kitu, sasa jana ndo nimeona hali hii, nifanyaje?
andika wosia kabisa,ushauvagaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…