Msaada: Nimelikanyaga, uume unatoa usaha

Mkuu acha woga, binafsi niliwahi pata hyo kitu...nilienda hospital baada ya kupima ikaonekana ni UTI nkachomwa sindano moja ya mkononi na kupewa dawa ambazo nlitumia kwa siku tatu, ambapo siku ya pili tu usaha ukakata ila nkamalzia dawa mpaka hii leo nipo fiti... No stress
 
Nimekuwa kimya sana week iliyopita nilikuwa nimesafiri kidogo kwenda Mbeya kama kawaida ya Beberu-mpya nikamuona mtoto huyu ambae amenisabashia hii kitu, sasa jana ndo nimeona hali hii, nifanyaje?
Urethral Discharge syndrome(UDS)mostly GC so adhere to health facillity for mnx.
 
Nenda hospital ukapime kwani unatibika hata usijar,ila jitahid kutumia kinga au acha kabisa michepuko kama unaweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…