Beberu-mpya
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 216
- 106
- Thread starter
-
- #141
Dah kaka nimetoka kupima nimeambiwa kuwa ni Gono ila ckutaka kupima Ngoma naogopa Stess zaidiNtashukuru Mungu endapo ukipima ngoma unayo, ili uwe fundisho kwa wenzako wanaovamia hovyo hovyo.
Thanks my brodahUrethral Discharge syndrome(UDS)mostly GC so adhere to health facillity for mnx.
Yap kaka nitajitahidi kuacha kabisaNenda hospital ukapime kwani unatibika hata usijar,ila jitahid kutumia kinga au acha kabisa michepuko kama unaweza
SawaUkienda hospital jaribu kupima na kile kingine ndugu..
usiwe unatia tia hovyoKaka cjui ni kwa nini Condom cpendi ila huwa napoteza kabisa ari ya Jogoo kuwika wakati wa mchezo
metenda dhambi mkuu,Mshahara wa dhambi ni mauti.
Dah kaka ni kweli ila najua cjamgonga dadayo sema si unajua hizi hamu zetu za usiku kwa guest nikamwambia mdada wa guest anitafutie mchuchu ndipo akaniletea hili homaYaani mi nko Arusha naendelea na maisha yngu kumbe kuna jemba znaenda home mbeya kunigongea dada zangu.
POLE MKUU WAHI HOSPITAL HILO NI GONO MUBASHARA TO THAT EXTENT
UsirudieKaka sasa mimi nimekwenda kupima nimeambiwa Gonorrehoea so nishaanza tiba ya Sindano aina ya Steptomycine 2g od kwa siku 3
Ukageuka kuwa beberu mzeeDah kaka ni kweli ila najua cjamgonga dadayo sema si unajua hizi hamu zetu za usiku kwa guest nikamwambia mdada wa guest anitafutie mchuchu ndipo akaniletea hili homa
Dah kaka lets nipone kwanza ndipo nipime lkn now naopoga stree wanguWanachokwambia ni kweli hilo ni gono kwa ushauli Pima na vvu
Damu wa sikumoja unakulaje kavu Mzee, au ndo viroba vilizidiHata namjua wapi kaka tulikutana night na tukaachana night hata number ya simu hatukubadilishana
panatoa maziwa mkuu, hahahaha kama dairy cattle vile. usitibu mzee uendelee kunywa maziwa ujenge afyaNimekuwa kimya sana week iliyopita nilikuwa nimesafiri kidogo kwenda Mbeya kama kawaida ya Beberu-mpya nikamuona mtoto huyu ambae amenisabashia hii kitu, sasa jana ndo nimeona hali hii, nifanyaje?
Ushauri mzuriusiwe unatia tia hovyo
Hata cjuiKiongozi huo usaha wa rangi nyeupe ni toleo jipya.!?
hahahahaaa humpi hata moyoWasisahau kukupa Arv.
Kaka nilisha kwenda embu cheki tym ambayo sikuwa kwa hewa more than 2 and ahalf nilikwenda kucheck na nimeambiwa kuwa ni Gono ila Ukimwi ctaki kupima nowUmeamua kutafuta kiki sio.....!!!
Hv kweli mtu anaeumwa badala ya kwenda kwa doctor yanaweza kuwa na muda wa kuja kupigana soga huku JF