Hahaha.... Ni kirestaurant cha ki local local Kipo Mbeya mjini barabara ya Mwanjelwa mitaa ya kwa Mama John ni jirani na Atukuzwe internet cafe, nimekisahau jina Ila kwa maelekezo haya hutopotea.
Ni Bora hukutapika maana ungepoteza protein nyingi sana.......
Fanya namna upate na senene/kumbikumbi......na aina fulani ya caterpillar wa brown hivi wanapatikana kwenye miti........ili kuboresha afya yako mkuu......
Usisahau na escargots........