Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
- Thread starter
- #41
Hahaha.... Ni kirestaurant cha ki local local Kipo Mbeya mjini barabara ya Mwanjelwa mitaa ya kwa Mama John ni jirani na Atukuzwe internet cafe, nimekisahau jina Ila kwa maelekezo haya hutopotea.Mkuu tujuzane hiyo restaurant na sisi tukapate protini za ziada.