Msaada: Nimemeza funza

Msaada: Nimemeza funza

Mkuu tujuzane hiyo restaurant na sisi tukapate protini za ziada.
Hahaha.... Ni kirestaurant cha ki local local Kipo Mbeya mjini barabara ya Mwanjelwa mitaa ya kwa Mama John ni jirani na Atukuzwe internet cafe, nimekisahau jina Ila kwa maelekezo haya hutopotea.
 
Ifikirie kuwa umepata additional protein., niliwala sana boarding school labada walinisaidia kufaulu vizuri.

Hata mimi nilipitia boarding school, lakini wale wa boarding school walikuwa wamepikwa ila wa huyu jamaa ni bado wazima.
 
Ni Bora hukutapika maana ungepoteza protein nyingi sana.......
Fanya namna upate na senene/kumbikumbi......na aina fulani ya caterpillar wa brown hivi wanapatikana kwenye miti........ili kuboresha afya yako mkuu......
Usisahau na escargots........
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom