Msaada: Nimempenda Msichana ambaye hapendi Mwanaume mwenye mtoto. Mimi ninaye mtoto ila hafahamu

Msaada: Nimempenda Msichana ambaye hapendi Mwanaume mwenye mtoto. Mimi ninaye mtoto ila hafahamu

Jstar1

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,391
Reaction score
1,347
Imepita takribani wiki, nilkutana na msichana mrembo anasajili laini, style ya kuingilia nikasajili laini, nikaomba no. aliniona smart sana maana nilimpgsha story za madini.

Ni msichana mrembo sana ana umri wa miaka 19, kamaliza form 4 2019, ila anaonekana n mschana mpambanaji, nljarbu kugusia background yao, akanismulia kila kitu na kwao sio wabovu ila alikataa kwenda chuo.

Badae kabisa alinikubalia na niko huru nae maana ata simu yake nashka ila laini bado anasajili, wanaume wengi wanamuomba namba ya smu anawapa namba ya kazini kwao, inshort m mwenyewe nmemuelewa ila kabla alasema alkua na mpenzi na waliachana kwa sababu huyo mwanaume alkua na mtoto na yeye hapendi mwanaume mwenye mtoto.

Mbaya zaidi mimi mtoto ninae ila nmemficha ila mschana ni mdogo mtaftaji na ni mrembo ana macho mazuri kama yale ya albino na shape ipo, kasema hajawai kutambulisha mtu kwao ila yuko tiar kunitambulisha mimi, sasa wakuu najiuliza huyu mtoto ni muweke ndani baada ya mwaka au ntakua nmechelewa

Naomba walio wahi kukutana na wasajili laini wanipe experience.
 
Imepita takribani wiki, nilkutana na msichana mrembo anasajili laini, style ya kuingilia nikasajili laini, nikaomba no. aliniona smart sana maana nlimpgsha story za madini.

ni mschana mrembo sana ana umri wa miaka 19, kamaliza form 4 2019, ila anaonekana n mschana mpambanaji, nljarbu kugusia background yao, akanismulia kila kitu na kwao sio wabovu ila alikataa kwenda chuo.

badae kabisa alinikubalia na niko huru nae maana ata simu yake nashka ila laini bado anasajili, wanaume wengi wanamuomba namba ya smu anawapa namba ya kazini kwao, inshort m mwenyewe nmemuelewa ila kabla alasema alkua na mpenzi na waliachana kwa sababu huyo mwanaume alkua na mtoto na yeye hapendi mwanaume mwenye mtoto.

mbaya zaidi mimi mtoto ninae ila nmemficha ila mschana ni mdogo mtaftaji na ni mrembo ana macho mazuri kama yale ya albino na shape ipo, kasema hajawai kutambulisha mtu kwao ila yuko tiar kunitambulisha mimi, sasa wakuu najiuliza huyu mtoto ni muweke ndani baada ya mwaka au ntakua nmechelewa

naomba walio wahi kukutana na wasajili laini wanipe experience
 
Shida ni yy kusajili line ama ni mimi ndio sijaelewa?

Yaani ww tatizo ni hiyo kazi yake. Sasa kazi inaamua vipi kumuoa mtu au kumuacha. Angekuwa kahaba sawa mtu anafanya kazi tena halali.
 
Unamaanisha wasajili laini wamefanana kitabia?
 
Imepita takribani wiki, nilkutana na msichana mrembo anasajili laini, style ya kuingilia nikasajili laini, nikaomba no. aliniona smart sana maana nlimpgsha story za madini.
Wasajiri line wenzio.tunamaliziaga shida zetu,
 
Uwezo wa vijana wetu kimahusiano umepungua sana. Wanawaza butterflies kama wanawake. Emotion, hisia hisia za kimapenzi zinazopaswa kuwazwa na jinsia za kike.

Hizi nyimbo za kina lavalava na mario na tamthilia za mapenzi zinatuharibia sana vizazi vya watoto wanaume.
 
Acha mvua inyeshe tuone panapovuja

Kwako mwalimu kashasha hii inaitwaje[emoji38][emoji38]
 
Chezeaneni acha kuwaza sana....
Wiki 1 bado penzi changa....
Miaka 19 bado mdogo huyo....

Na wewe usawa huu demu akatae kwenda chuo aende kusajili line? Mzazi gani atakubali? Unapigwa kamba chalii
 
Back
Top Bottom