Msaada: Nimempenda Msichana ambaye hapendi Mwanaume mwenye mtoto. Mimi ninaye mtoto ila hafahamu

Wewe ni msukuma mkuu??
 
Wiki mbili bado ni mapema sana, narudia tena bado ni mapema sana halafu jitahidi kumuweka wazi kuhusu Mtoto aamue kusuka au kunyoa.
 
jesus miaka 19??
 
Hebu nipe namba yake ya simu na mimi anisajilie line ili nianze kumpiga saundi, akinikubalia na tukaanza kuongea story kama hizi basi ujue sio wewe tu unaeambiwa hayo mko wengi
 
Kula kwanza mara kadhaa kisha mwambie ukweli, ataamua mwenyewe kama atazika ama atasafirisha.
 
Yaani wiki moja tu umewaza kuoa, tena binti kinda wa 19 years…. demu yeyote ukiweza kumla ndani ya miezi mitatu huyo sio mke.

We kula kisha achia na wenzako wamle.
 
Kula mbususu kwanza ndo umwambie una mtoto kama hataki asepe maana ata yy huyo mtoto mwenyewe hana na anaweza asipate hata huyo mtoto
 
"ana macho mazuri kama yale ya albino" hebu jazia nyama kidogo hii verse
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…