Kama dawa unayomaanisha ni diclopar K umepata side effects huna overdose,kutoka upele na kuumwa na kichwa ni sideeffects za kawaida za dawa hio na zimekuja kwa ghafla kwasababu umechukua dosage kubwa!angalia hio pakti ya dawa uniambie strength yake yaani how many milligrams of (active ingredients)diclofenac natrium and paracetamol are there per tablet?
Asante Mkuu,
Diclofenac Sodium BP 50mg
Paracetamol BP 500mg.
Ninatokwa na vipele vya kama malenge lenge na mishipa ya shingo pembeni mwa kichogo ie kulia na kushoto karibu na masikio imevimba na inauma!!
Unamaanisha lymph nodes zimevimba za nyuma ya shingo?zipo inflammed ndio maana...side effect mojawapo uloipata ni erythema multiforme ni kutokana na dawa ulizokula ...immune system yako inafanya kazi ndo maana!hali hio itaondoka yenyewe...kama upele unawasha tumia antihistamin kama polaramin...kila la kheri
Itakuwa vyema..kila la kheriAsante Mkuu,ngoja nifike dispensary then nitaleta mrejesho maana joto limepanda balaa,kama jogoo anamkimbiza kuku mtetea!!!
Tafadhali nisaidieni, juzi usiku nikiwa na maumivu makali ya kichwa nilikunywa diclopr 3 at once.
Kwa bahati mbaya, jana jioni nikaanza kuumwa kichwa na usiku mishipa ya kichwa kwa ndani ya nyuma ya kisogo pembeni kushoto na kulia ikawa inauma sana na imevimba hadi sasa japo imepungua.
Pia mwilini nimeanza kutoka vipele vya malenge lenge vina maji.
Nimekunywa maziwa ya kuchemsha na maji mengi ila bado naumwa.
Kwa anayeweza kunisaidia basi naomba tafadhali.
Unamaanisha lymph nodes zimevimba za nyuma ya shingo?zipo inflammed ndio maana...side effect mojawapo uloipata ni erythema multiforme ni kutokana na dawa ulizokula ...immune system yako inafanya kazi ndo maana!hali hio itaondoka yenyewe...kama upele unawasha tumia antihistamin kama polaramin...kila la kheri
Unamaanisha lymph nodes zimevimba za nyuma ya shingo?zipo inflammed ndio maana...side effect mojawapo uloipata ni erythema multiforme ni kutokana na dawa ulizokula ...immune system yako inafanya kazi ndo maana!hali hio itaondoka yenyewe...kama upele unawasha tumia antihistamin kama polaramin...kila la kheri
Mkuu uko vizuri. Salute kwako
mbona unaandika kama mchumba wangu mimi49? Wallah ni wewe.
Ndio mimi ni Mimi49 kwani una tatizo na hilo?
ahsante EntreprenegroMkuu uko vizuri. Salute kwako