Msaada-Nimeoverdose dawa

Msaada-Nimeoverdose dawa

MoPlan

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
907
Reaction score
661
Tafadhali nisaidieni, juzi usiku nikiwa na maumivu makali ya kichwa nilikunywa diclopr 3 at once.

Kwa bahati mbaya, jana jioni nikaanza kuumwa kichwa na usiku mishipa ya kichwa kwa ndani ya nyuma ya kisogo pembeni kushoto na kulia ikawa inauma sana na imevimba hadi sasa japo imepungua.

Pia mwilini nimeanza kutoka vipele vya malenge lenge vina maji.

Nimekunywa maziwa ya kuchemsha na maji mengi ila bado naumwa.

Kwa anayeweza kunisaidia basi naomba tafadhali.
 
Kama dawa unayomaanisha ni diclopar K umepata side effects huna overdose,kutoka upele na kuumwa na kichwa ni sideeffects za kawaida za dawa hio na zimekuja kwa ghafla kwasababu umechukua dosage kubwa!angalia hio pakti ya dawa uniambie strength yake yaani how many milligrams of (active ingredients)diclofenac sodium and paracetamol are there per tablet?
 
Kama dawa unayomaanisha ni diclopar K umepata side effects huna overdose,kutoka upele na kuumwa na kichwa ni sideeffects za kawaida za dawa hio na zimekuja kwa ghafla kwasababu umechukua dosage kubwa!angalia hio pakti ya dawa uniambie strength yake yaani how many milligrams of (active ingredients)diclofenac natrium and paracetamol are there per tablet?

Asante Mkuu,
Diclofenac Sodium BP 50mg
Paracetamol BP 500mg.

Ninatokwa na vipele vya kama malenge lenge na mishipa ya shingo pembeni mwa kichogo ie kulia na kushoto karibu na masikio imevimba na inauma!!
 
Unamaanisha lymph nodes zimevimba za nyuma ya shingo?zipo inflammed ndio maana...side effect mojawapo uloipata ni erythema multiforme ni kutokana na dawa ulizokula ...immune system yako inafanya kazi ndo maana!hali hio itaondoka yenyewe...kama upele unawasha tumia antihistamin kama polaramin...kila la kheri
 
Asante Mkuu,ngoja nifike dispensary then nitaleta mrejesho maana joto limepanda balaa,kama jogoo anamkimbiza kuku mtetea!!!
 
Tafadhali nisaidieni, juzi usiku nikiwa na maumivu makali ya kichwa nilikunywa diclopr 3 at once.

Kwa bahati mbaya, jana jioni nikaanza kuumwa kichwa na usiku mishipa ya kichwa kwa ndani ya nyuma ya kisogo pembeni kushoto na kulia ikawa inauma sana na imevimba hadi sasa japo imepungua.

Pia mwilini nimeanza kutoka vipele vya malenge lenge vina maji.

Nimekunywa maziwa ya kuchemsha na maji mengi ila bado naumwa.

Kwa anayeweza kunisaidia basi naomba tafadhali.

Andika wosia haraka haraka kisha uende hospital haraka.
 
Unamaanisha lymph nodes zimevimba za nyuma ya shingo?zipo inflammed ndio maana...side effect mojawapo uloipata ni erythema multiforme ni kutokana na dawa ulizokula ...immune system yako inafanya kazi ndo maana!hali hio itaondoka yenyewe...kama upele unawasha tumia antihistamin kama polaramin...kila la kheri

Mkuu uko vizuri. Salute kwako
 
mbona unaandika kama mchumba wangu mimi49? Wallah ni wewe.
 
Check na Dengue fever ila huwa hutakiwi kula adprin au diclophenac or diclopar. Kunywa maji mengi sana juice na matunda na mboga.
 
"usiku mishipa ya kichwa kwa ndani ya nyuma ya kisogo pembeni kushoto na kulia ikawa inauma sana na imevimba hadi sasa japo imepungua."

hapo sijakuelewa kabisaa. Uende hospitali uje na mrudisho nyuma hapa.
 
Huyu jamaa anaumwa hasa
maana kaitaja mishipa yote na bado katajiwa Dawa za ku-Neutralise bado
Basi
atapona km Mshipa mkuu wa chini haujaguswa na Dicloper Heri
Tumsubiri asubuhi atanyanyuka na kuwika
Kila la heri
 
Back
Top Bottom