MoPlan
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 907
- 661
Tafadhali nisaidieni, juzi usiku nikiwa na maumivu makali ya kichwa nilikunywa diclopr 3 at once.
Kwa bahati mbaya, jana jioni nikaanza kuumwa kichwa na usiku mishipa ya kichwa kwa ndani ya nyuma ya kisogo pembeni kushoto na kulia ikawa inauma sana na imevimba hadi sasa japo imepungua.
Pia mwilini nimeanza kutoka vipele vya malenge lenge vina maji.
Nimekunywa maziwa ya kuchemsha na maji mengi ila bado naumwa.
Kwa anayeweza kunisaidia basi naomba tafadhali.