Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Duniani kuna magonjwa mengi mengine ni psychological made. Anyway, mimi nmepokea mgeni ambaye amekuja likizo maalum. Jamaa yangu wa kitambo sana.
Ilikuja tu tokea akawa amemaliza chuo kaajiriwa sehemu akafundishwa kunywa pombe...akaja kuwa komba. Wamehangaika naye sana. Mpaka mke amechoka naye..kutumia 500,000 hadi 1,000,000 kwa mwezi ni kawaida sana kwake.
Sababu pia akinywa ananunulia sana na hao anaita washkaji. Sasa amekuja home apumzike nami nimsaidie aache pombe. Nimemwanzishia matumizi ya Grand Malt...amependa kwa siku anakata hadi vikopo vitano. Ya baridi sana.
Sasa naomba msaasa wenu. Mtu anayefanya kazi sehemu wanapotengeneza hizi.anisaidie kama watanishushia bei nije chukua cartons kadhaa. Maana vinaenda sana. Nahitaji sehemu ambayo watashusha bei zaidi ya inayouzwa maduka ya jumla..ninunue cartons nyingi. Jamaa ana week ya tatu hajanywa pombe. Na afya yake imerejea vizuri.macho yamekuwa vizuri maana yalikuwa mekundu almost everytime.
Natanguliza shukrani.