Pole ndugu yangu ngojea madocta waje kukushauri na Mie nijifunze
fwata ushauri wa daktari, hizo dawa unazosema zipo lakini hujapewa labda kuna sababu maalumu dokta ameiona.
kima ulienda kwenye kizahanati tafuta hospitali ya maana unakoweza kutana na wataalamu.
pia ujuwe ikionekana mtoto hajakaa vizuri unaweza kulazimika kufanyiwa operation...
Nilienda hospital kubwa samahani mtoto kukaa vibaya inachangia kukosa uchungu?
Nilienda hospital kubwa samahani mtoto kukaa vibaya inachangia kukosa uchungu?
ya kwa baadhi ya positions, ila vitu vingine ni hormone ya kusaidia nyonga kutanuka na nyingine nyingi. Sasa dokta aliyekupima ndio anajua nini hasa tatizo.
Dawa ya kuweza kukufanya upate kuzaa ninayo ukiweza nitafute kwa kubonyeza hapa.MawasilianoHabari,
Mimi ni mwanamke nina umri wa miaka 28 na ni mjamzito. Tatizo linalonikosesha raha ni kuwa nimepitiliza tarehe yangu ya kujifungua na hata zile wiki mbili za nyongeza zimepita.
Nimeenda hospitali jana kuonana na doctor akasema nisubiri hadi tarehe 9 then kama bado niende wakajue option gani wafanye.
Msaada ninaomba, hakuna dawa inayoweza kunipa uchungu na nikajifungua kawaida, na nini aswa tatizo la kutopata uchungu kwa wakati?
Habari,

Nitajie tarehe yako ya mwisho kupata hedhi(Last Normal Menstrual Period)
Dr kasema usubiri hadi tarehe 9, wewe unataka uambiwe dawa ya uchungu, sasa ya daktari hayana maana tena, kupitiliza siku hasa hizo wiki mbili ktk kujifungua ni jambo la kawaida, wala hupaswi kuwa na hofu. niliwahi kuexperience hali hiyo kwa ujauzito wangu wa kwanza, nilipitiliza wiki mbili, nikaenda hosp dr akanipa tarehe ya kurudi ila kama nitakuwa bado waamue vinginevyo, but niliumwa uchungu kabla ya hiyo tarehe niliyopewa hospital na nilijifungua salama kabisa kwa njia ya kawaida, so fuata maagizo ya daktari lizdjoy
Ni kweli umepitiliza kama kweli hiyo ndiyo tarehe sahihi, mategemeo kwa tarehe hiyo ni tarehe 22/10/2015Tarehe ya mwisho ilikuwa 15/01/2015
Dawa ya kuweza kukufanya upate kuzaa ninayo ukiweza nitafute kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
Ni kweli umepitiliza kama kweli hiyo ndiyo tarehe sahihi, mategemeo kwa tarehe hiyo ni tarehe 22/10/2015