kalikumutima
Senior Member
- Oct 9, 2014
- 147
- 46
mkuu nadhan hujaeleweka,fafanua vizur simu gan ayo majina hakuna, iyo mpya au ya zaman? na kingine unatakiwa kujua ulivyokua unasave majina ulikua unasave kwenye simu au sim card? ayo majina unayotaka yako kwenye simu ya zaman? na ni simu gan smartphone au kitochi? tuanzie hapa kwanzaHabari wataalam.
Nimebadili simu ya awali nikampa dogo.
Cha kushangaza majina yote yangu kwenye simu hii yangu Hayao isipokuwa yale ya dogo yaliyopo kwenye simu yake niliyomwachi ndo na kwenye simu yangu yanaoneka.
Msaada maana hata kwenye simu ya mwanzo siyaoni
Simu ya mwanzo ni Motorola na hii ni Samsung, Nilipo sign kwenye simu mpya majina yalionekana kwa vile yalikuwa kwenye email shida imeanza pale dogo nae alipo sign na acc yake majina yangu kwenye simu yakatoweka na badala yake ya simu ya dogo yanaonekana kwenye simu zote mbilimkuu nadhan hujaeleweka,fafanua vizur simu gan ayo majina hakuna, iyo mpya au ya zaman? na kingine unatakiwa kujua ulivyokua unasave majina ulikua unasave kwenye simu au sim card? ayo majina unayotaka yako kwenye simu ya zaman? na ni simu gan smartphone au kitochi? tuanzie hapa kwanza
Manage account yako ya E-mailSimu
Simu ya mwanzo ni Motorola na hii ni Samsung, Nilipo sign kwenye simu mpya majina yalionekana kwa vile yalikuwa kwenye email shida imeanza pale dogo nae alipo sign na acc yake majina yangu kwenye simu yakatoweka na badala yake ya simu ya dogo yanaonekana kwenye simu zote mbili