Msaada: Nimepoteza majina kwenye simu yangu

kalikumutima

Senior Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
147
Reaction score
46
Habari wataalam.

Nimebadili simu ya awali nikampa dogo.

Cha kushangaza majina yote yangu kwenye simu hii yangu Hayao isipokuwa yale ya dogo yaliyopo kwenye simu yake niliyomwachi ndo na kwenye simu yangu yanaoneka.

Msaada maana hata kwenye simu ya mwanzo siyaoni
 
mkuu nadhan hujaeleweka,fafanua vizur simu gan ayo majina hakuna, iyo mpya au ya zaman? na kingine unatakiwa kujua ulivyokua unasave majina ulikua unasave kwenye simu au sim card? ayo majina unayotaka yako kwenye simu ya zaman? na ni simu gan smartphone au kitochi? tuanzie hapa kwanza
 
Kama ulikua unatumia smartphone ya Android jaribu kuweka email yako kwenye simu mpya kisha uangalie kama yapo.
NB: Hii ni kama kwenye simu ya mwanzo ulikua una save hizo namba kwenye email.
 
Simu
mkuu nadhan hujaeleweka,fafanua vizur simu gan ayo majina hakuna, iyo mpya au ya zaman? na kingine unatakiwa kujua ulivyokua unasave majina ulikua unasave kwenye simu au sim card? ayo majina unayotaka yako kwenye simu ya zaman? na ni simu gan smartphone au kitochi? tuanzie hapa kwanza
Simu ya mwanzo ni Motorola na hii ni Samsung, Nilipo sign kwenye simu mpya majina yalionekana kwa vile yalikuwa kwenye email shida imeanza pale dogo nae alipo sign na acc yake majina yangu kwenye simu yakatoweka na badala yake ya simu ya dogo yanaonekana kwenye simu zote mbili
 
Manage account yako ya E-mail
 
Kama wewe Ni mtumiaji wa Facebook contacts zako zote ziko huko FB.
Cha kufanya; ingia Facebook, bonyeza Settings,then angalia huko chini kuna " upload contacts" bonyeza hapo na bila shaka utapata contacts zako zote huko
 
Back
Top Bottom