Msaada: Nimeshindwa ku rent ama kununua hii Royal tour documentary amazon

Escrowseal1

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2014
Posts
4,618
Reaction score
4,605
Nimejaribu ku rent ama kununua nikashindwa kwa sababu ya billing address nje na US . Payment inaonyesha in $ tu. Please mwenye msaada ili tuangalie wote ubunifu wa mkuu wa machifu wetu naomba msaada.
 
Acha Ushamba kwa watanzania ni bure

Naitwa Chief " H A N G A Y A"
 
Nimejaribu ku rent ama kununua nikashindwa kwa sababu ya billing address nje na US . Payment inaonyesha in $ tu. Please mwenye msaada ili tuangalie wote ubunifu wa mkuu wa machifu wetu naomba msaada.

It is made in Tanzania for U$ market only.Sisi ni kenge
 
Kama una master/visa card si unanunua kawaida tu?
Malipo kuwa kwenye mfumo wa $ si tatizo ukifuata maelekezo unanunua bila shida...pesa inajiconvert auto..
 
I know inabidi iwe hivyo .tatizo ni kuwa inaleta message kabisa kuwa card yako lazima iwe ina billing address ya us .ila anyway thanks nshaiishiba you tube hakuna kinachoshindikana jf
 
Back
Top Bottom