Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Really ??Watu washaiweka YouTube
Hiyo hapo,Kama hujapata bahati ya kuiona filamu ya Tz Royal Tour ni hii hapa. Enjoy. Utajifunza mengi
Salute to jamii forums and most of its communityKama hujapata bahati ya kuiona filamu ya Tz Royal Tour ni hii hapa. Enjoy. Utajifunza mengi
Shikamoo jf kidogo ilile dola almost 20.Thanks Maria.Hiyo hapo,
Sema kingine
Nimejaribu ku rent ama kununua nikashindwa kwa sababu ya billing address nje na US . Payment inaonyesha in $ tu. Please mwenye msaada ili tuangalie wote ubunifu wa mkuu wa machifu wetu naomba msaada.
It is made in Tanzania for U$ market only.Sisi ni kenge
Kama una master/visa card si unanunua kawaida tu?Nimejaribu ku rent ama kununua nikashindwa kwa sababu ya billing address nje na US . Payment inaonyesha in $ tu. Please mwenye msaada ili tuangalie wote ubunifu wa mkuu wa machifu wetu naomba msaada.
It is made in Tanzania for U$ market only.Sisi ni kenge
I know inabidi iwe hivyo .tatizo ni kuwa inaleta message kabisa kuwa card yako lazima iwe ina billing address ya us .ila anyway thanks nshaiishiba you tube hakuna kinachoshindikana jfKama una master/visa card si unanunua kawaida tu?
Malipo kuwa kwenye mfumo wa $ si tatizo ukifuata maelekezo unanunua bila shida...pesa inajiconvert auto..
Acha Ushamba kwa watanzania ni bure
Naitwa Chief " H A N G A Y A"