Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
-
- #201
Sijalogwa mimi....Bro mpigie mganga amalize hili jambo
namwita aje ashuhudie, jinsi kiswahili unavyo kiharibu.Ahahhaa sasa mbona unamuita vishu sasa kaka ππππ
Ahahahhaha wee takuchana ukimbie jf week mbilisifa ya pera ni kutafunwa, na wahuni hatujali daily tuna kuanzia nyuma.
Zarau ndogo ndgo mi huwa hazina nafasi,namwita aje ashuhudie, jinsi kiswahili unavyo kiharibu.
na adhabu yako ni kutafunwa ka tunda la zabibu
Evelyn Salt bro huyu dogo ni mlaini mlaini, hivyo Nina uhakika aki lala chini.Et anasema week nilale chini ndo ujinga gani huo
Achana na hao matapeli wa mjini, mganga nakutibu kwa gugu....huyu wa sumbawangaSijalogwa mimi....
Alafu skia mi mambo ya waganga nimeachana nayo mana wengi waongo..
Et anasema week nilale chini ndo ujinga gani huo
πππππππππ Intel intel intel you is fvcken yoooouu youuuEvelyn Salt bro huyu dogo ni mlaini mlaini, hivyo Nina uhakika aki lala chini.
lazima mganga ampandishie mpiniππ.
Daaah ππππππAchana na hao matapeli wa mjini, mganga nakutibu kwa gugu....huyu wa sumbawanga
πππππ Nishapona madamMbona kama mfupa wa kuku huo? Unakula bila kutafuna unategemea niniπ
Pole umetema kuku wa KFC ujueπππππππ Nishapona madam
Alhamdullilah...
Ni nyama
I just don't like you prick, thanks for mentioning me.πππππππππ Intel intel intel you is fvcken yoooouu youuu
Kumbe kingereza pia ipo eeeehI just don't like you prick, thanks for mentioning me.
now I got an excuse to write, and I don't care who is there on your right.
but I'm sure you will lose this fight, you picked.
Daaah mkuu..Pole umetema kuku wa KFC ujueππ
Hivi kweli umetapika au umetema? Kimepitaje kooni hicho kikubwa hivyo?πDaaah mkuu..
Una nitukana ujue π π π π
πππHivi kweli umetapika au umetema? Kimepitaje kooni hicho kikubwa hivyo?π
Nilitaka nikupambanishe na Intell kumbe wewe kwa Intell ni mwepesi mnooo.Kumbe kingereza pia ipo eeeeh
Nguvu ya kukiweka mahali hapo kutoka pale ulipotapikia umezipata wapi?
Yaani huyu dogo ana utoto mwingi sana kwanza anavyoandika tu huwa nacheka mpaka machozi. Wiki chache Zilizopita kaanzisha uzi amenusurika kufa baada ya kusoma aisee π€£π€£π€£Nguvu ya kukiweka mahali hapo kutoka pale ulipotapikia umezipata wapi?