financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Nahisi hivyo pia๐๐๐๐๐
Anachangamsha jukwaa tu huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi hivyo pia๐๐๐๐๐
Anachangamsha jukwaa tu huyu
Vitoto vya 2000!!Yaani huyu dogo ana utoto mwingi sana kwanza anavyoandika tu huwa nacheka mpaka machozi. Wiki chache Zilizopita kaanzisha uzi amenusurika kufa baada ya kusoma aisee ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Tittles za threads zake huwa zinavuta umakini sasa ukianza kusoma. Dah huyu kweli hakukosea kujiita Poor brain ๐๐๐Nahisi hivyo pia ๐
Nimetapika mkuu ๐๐๐Hivi kweli umetapika au umetema? Kimepitaje kooni hicho kikubwa hivyo?๐
Nilikuwa natafuta niendeshe battle Wewe Intelligent businessman na mshamba_hachekwi lakini wewe tayari umeshapwaya aisee.Nimetapika mkuu ๐๐๐
Kuna dactar anasema et ni kipande cha inni
Na nguvu ya kupost tena ukiweka na imoj kabisa unapata wapi..๐๐๐Nguvu ya kukiweka mahali hapo kutoka pale ulipotapikia umezipata wapi?
Khaaaa yaani mi unishindanishe na hao underground mkuu.Nilikuwa natafuta niendeshe battle Wewe Intelligent businessman na mshamba_hachekwi lakini wewe tayari umeshapwaya aisee.
Next weekend tena ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Dah Intelligent businessman na mshamba_hachekwi mmeziona hizi kejeli?? Ngoja niandae kitu aiseeKhaaaa yaani mi unishindanishe na hao underground mkuu.
Ebu kua na heshima kidogo
Hamna kitu hapo...Dah Intelligent businessman na mshamba_hachekwi mmeziona hizi kejeli?? Ngoja niandae kitu aisee
sielewi hapa kuna niniDah Intelligent businessman na mshamba_hachekwi mmeziona hizi kejeli?? Ngoja niandae kitu aisee
Kumbe ini, meza tena ili urudishie shauri yako utakua na maini pungufu๐๐Nimetapika mkuu ๐๐๐
Kuna dactar anasema et ni kipande cha inni
huyo dogo mchicha nazi tuDah Intelligent businessman na mshamba_hachekwi mmeziona hizi kejeli?? Ngoja niandae kitu aisee
Kumfananisha mshamba_hachekwi na Poor Brain ni Haram.Nilitaka nikupambanishe na Intell kumbe wewe kwa Intell ni mwepesi mnooo.
Labda kwa Mshamba hachekwi ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
poor brain amefall offKumfananisha mshamba_hachekwi na Poor Brain ni Haram.
Maana mshamba_hachekwi yuko kwenye thinking level nyingine,sio hicho kipande Cha safina๐๐
AhahahahhahaKama sio bandama sijui! Hutakuwa na uwezo wa kucheka tena pole sana mkuu.
Kaka kwema kaka
Wewe unaanza kunichokoza sasa...Kumbe ini, meza tena ili urudishie shauri yako utakua na maini pungufu๐๐
Kaka ulitoa ushauli mzr sanaKaka kwema kaka
Ahhahaha daah mkuu naona unataka ligihuyo dogo mchicha nazi tu