Msaada: Nina aibu kupita kiasi, nifanyeje kuondokana na hali hii?

Hii Hali inawakumba watu Wengi sana duniani,lakini hayo mawazo umejijengea wewe mwenyewe kwamba Kuna kitu unaogopa lakini hujui ni nini? ukiwa nyumbani uko sawa ila ukianza kukutana na watu unagundua kwamba huwezi kudumu katika maongezi. Hali hiyo inatesa sana Kwa sababu inakutenganisha na watu sana,wakati ndio wakati unataka kufanya koneksheni na watu wengi sana upate maarifa na ufahamu,hiyo Hali inakuzuia,Cha kufanya chunguza mazingira Yako,Kuna Yale mahusiano unayajuwa kwamba huyataki lakini yanalazimishwa kuwepo,achana nayo,hayo yanakuzuia kukua, mshirikishe Mungu maana shetani ana njia nyingi za kumteka mtu bila kujuwa na muda unaenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkiambiwa mfanye yoga mnabisha,,yoga inasaidia ku expose emotions zote zilizo jificha ambazo you were not aware of them before.

Means they were not in your concious mind level,,but in your unconscious mind,,
 
Pole sana.
Wakati nasoma soma nilikua Representative na mwenzangu wa kike. Kwenye vikao tulikua tunalipwa 5K lakini hadi natoka kwenye uongozi sikuwahi kuhudhuria hata kikao kimoja huyu dada ndo ilibidi awe ananiwakilisha.

But the worst ni kwamba nashindwa kudai watu madeni. Kuna watu kibao nawadai hela ila sijui nawaanzaje kuwadai daaaah. Yaani nabaki nasononeka rohoni. Naokopa ninao wadai badala wao ndo waniogope
 
Ndio maana mnanimind sana ninavyo zichakata pisi nyingi nyingi kumbe nawachakatia na zenu.

To remind you ni kwamba aibu haitoki kwa wivu juu ya wanaume wenzio wala papuchi
 
Inaonekana husex vya kutosha.😀
 
Jitahidi wallet ijae.
 
Ukiweza kuacha kutumia kiswanglish kama slay queens wa bongo movie ndo utaweza kuacha hizo aibu za kike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…