Rule L
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 1,846
- 2,754
NAKAZIA[emoji23] kuna kaukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAKAZIA[emoji23] kuna kaukweli
Wewe kama mimi tu[emoji23][emoji23]Mimi kinachonisumbua kuanza kuongea mbele za watu hasa ikiwa kikao Rasmussen cha watu zaidi ya 20 hivi hasa kwa kusimama oyaaa nikiwa nimekaa chini naongea hata mbele ya watu 1000 confidence...
Mkuu please naomba nielekeze hii kitu ,pia nimekucheki DM naona umeifunga[emoji1787]Mkiambiwa mfanye yoga mnabisha,,yoga inasaidia ku expose emotions zote zilizo jificha ambazo you were not aware of them before.
Means they were not in your concious mind level,,but in your unconscious mind,,
Aloo, jichanganye na watu wa makundi mbalimbali katika jamii, walao itasaidia kuwazoea watu taratibu, jiunge na kwaya, vikundi vya mazoezi. Jichanganye kwenye shughuli za kijamii kama sherehe mbalimbali na misiba, acha kujifungia ndani.Short story huenda ikawa na msaada:
Mimi pia nilikuwa muhanga wa hicho kitu........ Malezi nilopewa nyumbani yalichangia pakubwa kuwa hvyo, maisha yangu yote ya ukuaji nilikuwa mtu wa kukaa sana ndani Sina marafiki, mkimya kupitiliza, aibu nyingi Sana N.k
Baada ya kufaulu vzr O-level, nikapangiwa shule ya advance amby n day na ilikuwa changanyikeni.... Hapo ndipo character ilibadirika moja kwa moja!!!
Kwanza nilichojifunza,,, marafiki utakaochagua kuwa nao kweny maisha baada ya muda lazima utaendana nao zaidi ya 40%
Hii ilinitokea baada ya kufika shuleni nikapata rafiki mmoja aliyekuwa na masihara mengi sana, muongeaji kupitiliza..... (Yule jamaa alinibadirisha tabia mpk leo)
Kuna huu usemi wa dawa ya moto ni moto ( n formula nzuri sana ya kukabiliana na tatzo lako), nikimaanisha dawa ya aibu ni aibu kubwa.
Twende pamoja🤝
Shule nilosoma ndani ya week moja darasa zima walifaham kuwa mm ninaaibu kupitiliza.... Basi walianza kunitania sana na hyo ndo ikawa tiba kwangu!!!
Walinigeuza mdoli wao hasa watoto wa kike (bro mwezi na nusu ulikuwa mwng Sana nishakuwa jangili utadhan nimezaliwa Tandale kwa tumbo)
KUONGEZEA: Kuna muda nilianza kuuza nguo mnadani tena sehemu ambayo nnafahamika ....... Hii pia ilimaliza aibu yote ilokuw imesalia maana ilikuwa ikifika jioni tunaanza kupiga debe la ... Oya oyah oyaaaah tajiri kalewa bei buku buku, mjamzito anapata bure😂😂😂😂🤣🤣
Kama unaweza jaribu hii mbinu..... Fanya shughul ambayo jamii inaidharau, mfano kuchoma mahindi, kuokota makopo😂😂 (ila hapa skushaur Sana japo hii ndo baba lao), kutembeza nguo, au kuwa hata machinga sehemu yenye watoto wazuri halafu uwe unavaa kama umetoka migodi ya geita.... halafu ukitaka matokeo ya haraka fanya sehemu ambayo watu wanakuheshimu!!!!
Ukiweza kuvumilia fedheha mwezi mmoja, aibu lazima iondoke.🚶🚶
Dawa ya aibu n aibu bwana!!!!
Kweli nakazia apo hiyo ni nyetoACHA KUPIGA NYETO . Utakuja kunishukuru mbeleni .. nyeto inaondoa kujiamini .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watakushauri uvute bange , nakushauri usiwasikilize haiondoi aibu inaondoa common sense
Bora hata wee umejaribu kuuliza vizuri?Aibu ya namna gani?, aibu ni Pana sana, je una aibu kwenye Nini?
Nakubaliana na wewe mkuu ishanisumbua sanaACHA KUPIGA NYETO . Utakuja kunishukuru mbeleni .. nyeto inaondoa kujiamini .
AiseeWakuu, sorry if I will sound weird, ila hakuna jinsi bora kusema labda naweza pata tiba.
Nifanyeje ili niweze kuondoa aibu? Mwanzo jilijua ni utoto itapotea with ages ila mpaka umri huu hali iko vilevile na ndio kwanza inazidi kukua.
Huwa nawaza hivi siku nafunga ndoa mimi nitafanyaje? Naamini kabisa sitaweza kusimama mbele za watu.
Hivi kuna jambo lolote naweza fanya ili kuondoa hali hii kweli? As a man hadi najikuta nahisi kuna kitu nimekosa.
Msaada tafadhali wa kimawazo.
HhhhInaonekana husex vya kutosha.😀