Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wote.Kuna jambo hamjafunguka vizuri..
Mnaona aibu juu ya nini hasa? Aibu kwa mademu au kwa kila mtu? Au aibu ya kutongoza?
Au mnachanganya ukimya na aibu?
Maana kuna watu kwa asili ni wakimya tu, hawawezi kuongea ongea
I’m following you from now!Mkiambiwa mfanye yoga mnabisha,,yoga inasaidia ku expose emotions zote zilizo jificha ambazo you were not aware of them before.
Means they were not in your concious mind level,,but in your unconscious mind,,
Karibu binti kiziwi,I’m following you from now!
Mnajionea aibu mpaka nyie wenyewe?....Nina tatizo kama lako
Nikaenda kwa psychologist nikajua nitapata labda dawa fulani, au kitu flani cha haraka
Nikashangaa anashauri the obvious; acha nyeto, tafuta outlets(sports, nenda church nk), jilazimishe kuwa karibu na watu, tengeneza ratiba ya siku na uifate, fanya mazoezi....
Najaribu nashindwa, psychologist nae nikaanza kumuonea aibu nishamtema.
Hapo kwenye 'jiamini tu' 'jilazimishe' pagumu hapo
Umevutiwa na kipi binti kiziwiI’m following you from now!
Mdogo angu,Wakuu, sorry if I will sound weird, ila hakuna jinsi bora kusema labda naweza pata tiba.
Nifanyeje ili niweze kuondoa aibu? Mwanzo jilijua ni utoto itapotea with ages ila mpaka umri huu hali iko vilevile na ndio kwanza inazidi kukua.
Huwa nawaza hivi siku nafunga ndoa mimi nitafanyaje? Naamini kabisa sitaweza kusimama mbele za watu.
Hivi kuna jambo lolote naweza fanya ili kuondoa hali hii kweli? As a man hadi najikuta nahisi kuna kitu nimekosa.
Msaada tafadhali wa kimawazo.
Inasaidia kukupa misimamo ukiweza kui endeshaa sio yenyewe ikuendesheeUnakunywa pombe?
Embuvanza kumtusi kila mtu humu tukuporomoshee matusi tuone utahimikiPole sana.
Wakati nasoma soma nilikua Representative na mwenzangu wa kike. Kwenye vikao tulikua tunalipwa 5K lakini hadi natoka kwenye uongozi sikuwahi kuhudhuria hata kikao kimoja huyu dada ndo ilibidi awe ananiwakilisha.
But the worst ni kwamba nashindwa kudai watu madeni. Kuna watu kibao nawadai hela ila sijui nawaanzaje kuwadai daaaah. Yaani nabaki nasononeka rohoni. Naokopa ninao wadai badala wao ndo waniogope
Hapo we unajua. Unapiga chache tu unawaka.Inasaidia kukupa misimamo ukiweza kui endeshaa sio yenyewe ikuendeshee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo we unajua. Unapiga chache tu unawaka.
Kivipi, na nini kifanyikeHyo ni trauma, unexpressed emotions. Mara nyingi ni matokeo ya malezi mabaya.
Brother angu katoka kunisema kua eti Mimi Ni mpole Kama YESUEmbuvanza kumtusi kila mtu humu tukuporomoshee matusi tuone utahimiki
Mwenzako pia hapa ika mimi najichanganyaga kidogo mtu akinfanya mambo ya hovyo ndo najikata kabisa
Ila kwenye kudai haki yangu ndo changamoto kwa sababu sipendu kulumbana na watu
Kwa kijana Kama hajawai kutumia kilevi chochote huyo hajawai kuishi...Hapo we unajua. Unapiga chache tu unawaka.